検索ワード: painting (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

painting

スワヒリ語

uchoraji

最終更新: 2014-09-28
使用頻度: 7
品質:

参照: Wikipedia

英語

painting by federico boyd sulapas dominguez.

スワヒリ語

imechorwa na federico boyd sulapas dominguez.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

one of the shooters given a religious treatment in a painting by an unknown author.

スワヒリ語

mmoja wa wahalifu hao akipewa hadhi ya kidini kwa kutumia mchoro na mchoraji asiyefahamika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: Wikipedia

英語

your information is great. i hope you are healthy. i am a car mechanic, especially painting.

スワヒリ語

habari yako mkuu natumaini ni mzima wa afya mimi ninafanyakaz ya utengenezaji wa magari hususani kupiga rangi nilikuwa naombi la kuja kama gereji ili nipige rangi machine zako zote na tekta zako zenye huitaji kama hutojali gharama zetu ni za kawaida tu

最終更新: 2021-05-02
使用頻度: 2
品質:

参照: 匿名

英語

federico boyd sulapas dominguez uploaded this painting in time for the asia-pacific economic cooperation summit which will be held in the philippines.

スワヒリ語

federico boyd sulapas dominguez alipakia mchoro huu wakati wa kuelelekea kwenye kongamano la ushirika wa kiuchumi la asia-pacific linalotarajiwa kufanyika nchini ufilipino.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

aside from exposing the negative impact of militarization, the painting also shows how government laws unfairly discriminate against the philippines' ethnic communities.

スワヒリ語

mbali na kuweka bayana athari za matumizi ya nguvu za kijeshi, michoro yake pia inaonesha namna ambavyo sheria za nchi zinavyobagua jamii za makabila ya nchini ufilipino.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

over the past 40 years, filipino artist federico boyd sulapas dominguez has been painting the efforts of indigenous peoples to combat destructive mining, development aggression, and militarization.

スワヒリ語

kwa kipindi cha miaka 40 iliyopita, msanii wa kifilipino federico boyd sulapas dominguez amekuwa akiandaa picha zinazoonesha harakati za wazawa katika kukomesha uchimbaji madini wa uharibifu, utafutaji maendeleo usiojali haki, pamoja na matumizi ya nguvu za kijeshi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

if: urban sketchers is a non-profitmaking, international organisation, dedicated to fostering the art of on-location drawing and painting.

スワヒリ語

if: wachoraji wa mjini ni jumuiya ya watu wasiotengeneza faida yoyote, jumuiya ya kimataifa, inayojikita kukuza sanaa ya uchoraji na upakaji rangi wa mahali fulani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"he's one of those artists that when you go past one of his paintings, you instantly know it's a rei blinky. there's no one else like him," janowitz says.

スワヒリ語

"huyu ni mmoja wa wale wasanii ambao ukipitia kazi zake utajua tu kuwa ni yuleyule rei blinky.hakuna mwingine kama yeye" anasema janowitz.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

人による翻訳を得て
7,745,126,031 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK