プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
presenting the balkan minorities · global voices
utambulisho wa jamii ndogo ya balkan
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
presenting a balance depiction of africa is crucial.
kuonyesha taswira zenye mizani iliyolingana ni jambo muhimu.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
they just don't have the habit of presenting points of view that they cannot control.
hawana tu tabia ya kuwakilisha mitizamo ambayo hawawezi kuidhibiti.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
one of the town’s plazas shows his statue, presenting el yanga as a defiant, proud man.
moja ya eneo la soko imewekwa sanamu yake, inamtambulisha el yanga kama mmoja wa watu wajasiri na wa kujivunia.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
every rite of passage is symbolized by the presenting of pigs, and a family’s wealth is measured by the number of pigs they own.
kila maadhimisho ya hatua fulani ya maisha huambatana na kukabidhiwa nguruwe, na pia, utajiri wa familia hupimwa kwa wingi wa nguruwe katika familia.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
over the next few days, we will be putting together the data collected before presenting it to our prime minister, mr lee hsien loong, by email and in hard copy.
katika siku chache zijazo, tutakuwa tunaziweka pamoja takwimu tulizokusanya kabla ya kuziwasilisha kwa waziri mkuu wetu, bw. lee hsien loong, kwa njia ya barua pepe na katika nakala ya kawaida.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
additionally, practices participating in current virology surveillance are now taking samples for covid-19 surveillance from low-risk patients presenting with lrtis.
isitoshe, huduma zinazoshiriki katika uchunguzi wa sasa wa viarolojia sasa zinachukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa covid-19 kutoka kwa wagonjwa wenye hatari ya chini wanaoonyesha maambukizi ya njia ya chini ya pumu.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
i mean, how have the media succeeded in presenting the case of gaza as one of a hungry person under siege, searching for food and "humanitarian" aid not worthy of dogs?!
yaani, ni vipi vyombo vya habari vimefanikiwa kuwasilisha shauri hili kama shauri moja la mtu mwenye njaa aliyezingirwa, anayetafuta misaada ya kibinaadamu na chakula kisichomfaa hata mbwa?!
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています
ali kordan, iran's new minister of the interior, has recently been under fire for presenting a "fake" ph.d. degree from the prestigious oxford university in the united kingdom.
ali kordan,waziri wa mambo ya ndani wa irani, katika siku za hivi karibuni, ameshutumiwa vikali kwa kuonyesha shahada 'feki' ya udaktari (phd) aliyodai kupata kutoka katika chuo kikuu chenye sifa kubwa duniani cha oxford cha nchini uingereza.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています