検索ワード: revenue (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

revenue

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

manage revenue collection

スワヒリ語

kukusanya ushuru

最終更新: 2022-12-30
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

accounting concept revenue realisation

スワヒリ語

dhana ya uhasibu

最終更新: 2021-08-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

"great leap forward" in financial revenue

スワヒリ語

“hatua kuu mbele” katika mapato ya fedha

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

the revenue from your lord is better, and he is the best of providers.

スワヒリ語

lakini ujira wa mola wako mlezi ni bora, na yeye ndiye mbora wa wanao ruzuku.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

revenue inequality in african towns via french documentation - public domain

スワヒリ語

kutokuwepo kwa usawa wa kimapato katika miji ya afrika kupitia taarifa ya ufransa -picha kwa matumizi ya umma

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

i worked to collect revenue and fix it, to handle incoming and outgoing calls, to monitor immigration issues.

スワヒリ語

nilifanya kazi ya kukusanya mapato na kurekebisha ,kushughulikia simu zinqzoingiw na kutoka majukumu ya kiu tawala ,kufuatilia masuala ya uhamiaji .

最終更新: 2021-05-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

back in 2005, mallika aryal at renewableenergyaccess reported on nepal's quest to generate sustainability and revenue through biogas.

スワヒリ語

tukirudi nyuma mwaka 2005, mallika aryal katika renewableenergyaccess alitoa taarifa iliyohusu jitihada za nepal kuataka kuzalisha uendelevu na faida kupitia gesi inayotokana na samadi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

notwithstanding the loss of revenue due to the emergency nature of the epidemic and the effect on general life, the media has remained committed to this fight.

スワヒリ語

licha ya kupoteza mapato kufuatia mlipuko wa kushtukiza wa ugonjwa huu pamoja na athari zinazokabili maisha ya kila siku, vyombo vya habari vimeendelea kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

others might say that regardless of tanzania’s share of the revenue, there will still be benefits in the form of jobs and local growth in mtwara.

スワヒリ語

wengine wanaweza kusema kuwa, mbali na mgawanyo wa mapato baina ya tanzania na makampuni yaliyowekeza, bado kutakuwa na faida ya upatikanaji wa ajira pamoja na ukuaji kiuchumi kwa mkoa wa mtwara.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

many news organizations in hong kong, a special administrative region of china, were already fearful of losing advertising revenue from their business ties in the mainland or angering the beijing government.

スワヒリ語

mashirika mengi ya habari jijini hong kong, jimbo maalumu ya kiutawala la china, yamekuwa na hofu ya kupoteza mapato ya matangazo ya ki-biashara kutoka bara china au kuogopa kuikasirisha serikali ya beijing.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

at the same time, revenue must urgently be directed to rural infrastructure, to increasing farm prices and developing agro-processing industry, on a scale not previously attempted.

スワヒリ語

katika wakati mmoja, mapato lazima yaelekezwe kwenye miundo mbinu ya vijijini, kuongeza bei za mazao ya mashambani na kuendeleza viwanda vya kusindika mazao, katika kipimo ambacho hakikuwahi kujaribiwa kabla.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

during the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.

スワヒリ語

katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

英語

in terms of section 28(1) of the tax administration act nam.7 of 2009, the zanzibar revenue authority (zra) is inviting a joint session between the zanzibar revenue authority (zra) and the leadership of the pan africa development company(paddco). authorities are asking you to reach his office in the northern province of zanzibar district office, on 13/05/2024 at 5:00 am without missing. your arrival is the success of the session.

スワヒリ語

kwa mujibu wa kifungu cha 28(1) cha sheria ya usimamizi wa kodi nam.7 ya mwaka 2009.mamlaka ya mapato zanzibar (zra) inatoa mualiko wa kikao cha pamoja baina ya mamlaka ya mapato zanzibar (zra) na uongozi wa pan africa development company(paddco). mamlaka inakuomba kufika katika ofisi yake ya mkoa wa kaskazini unguja ofisi ya kiwengwa , mnamo tarehe 13/05/2024 saa 5:00 asubuhi bila ya kukosa. kufika kwako ndio mafanikio ya kikao hicho.

最終更新: 2024-05-09
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,748,154,352 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK