Ask Google

Results for revenue translation from English to Swahili

Human contributions

From professional translators, enterprises, web pages and freely available translation repositories.

Add a translation

English

Swahili

Info

English

"Great Leap Forward" in financial revenue

Swahili

“Hatua Kuu Mbele” katika mapato ya fedha

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

The revenue from your Lord is better, and He is the Best of providers.

Swahili

Lakini ujira wa Mola wako Mlezi ni bora, na Yeye ndiye Mbora wa wanao ruzuku.

Last Update: 2014-07-03
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Revenue inequality in African towns via French documentation - Public domain

Swahili

Kutokuwepo kwa usawa wa kimapato katika miji ya Afrika kupitia taarifa ya Ufransa -Picha kwa matumizi ya umma

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Such figure will turn China into the second-largest country in terms of revenue income after the United States.

Swahili

Mapato hayo kitaifanya China kuwa nchi ya pili kwa ukubwa wa mapato ya fedha baada ya Marekani.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Back in 2005, Mallika Aryal at RenewableEnergyAccess reported on Nepal's quest to generate sustainability and revenue through biogas.

Swahili

Tukirudi nyuma mwaka 2005, Mallika Aryal katika RenewableEnergyAccess alitoa taarifa iliyohusu jitihada za Nepal kuataka kuzalisha uendelevu na faida kupitia gesi inayotokana na samadi.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Notwithstanding the loss of revenue due to the emergency nature of the epidemic and the effect on general life, the media has remained committed to this fight.

Swahili

Licha ya kupoteza mapato kufuatia mlipuko wa kushtukiza wa ugonjwa huu pamoja na athari zinazokabili maisha ya kila siku, vyombo vya habari vimeendelea kuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya ugonjwa huu.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Others might say that regardless of Tanzania’s share of the revenue, there will still be benefits in the form of jobs and local growth in Mtwara.

Swahili

Wengine wanaweza kusema kuwa, mbali na mgawanyo wa mapato baina ya Tanzania na makampuni yaliyowekeza, bado kutakuwa na faida ya upatikanaji wa ajira pamoja na ukuaji kiuchumi kwa mkoa wa Mtwara.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Writing on Africa Arguments, the analyst and blogger Ben Taylor claimed that the potential revenue from natural gas is on a scale that could release Tanzania from its heavy dependence on development aid.

Swahili

Akiandika kuhusiana na masuala ya Africa, mchambuzi na mwanablogu, Ben Taylor alitanabaisha kuwa, mapato sahihi yatokanayo na gesi asilia yanaweza kuifanya Tanzania kuacha kutegemea misaada ya kimaendeleo kwa kiasi kikubwa.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

Many news organizations in Hong Kong, a special administrative region of China, were already fearful of losing advertising revenue from their business ties in the mainland or angering the Beijing government.

Swahili

Mashirika mengi ya habari jijini Hong Kong, jimbo maalumu ya kiutawala la China, yamekuwa na hofu ya kupoteza mapato ya matangazo ya ki-Biashara kutoka bara China au kuogopa kuikasirisha serikali ya Beijing.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

At the same time, revenue must urgently be directed to rural infrastructure, to increasing farm prices and developing agro-processing industry, on a scale not previously attempted.

Swahili

Katika wakati mmoja, mapato lazima yaelekezwe kwenye miundo mbinu ya vijijini, kuongeza bei za mazao ya mashambani na kuendeleza viwanda vya kusindika mazao, katika kipimo ambacho hakikuwahi kujaribiwa kabla.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

The state broadcaster CCTV revealed in June 28 that China is expected to receive 8 trillion yuan ($1.18 trillion) in financial revenue by the end of 2010.

Swahili

Shirika la utangazaji la taifa CCTV liliweka wazi mnamo tarehe 28 Juni kuwa China inatarajia kupata yuani trilioni 8 (sawa na dola trilioni 1.18) katika mapato ya fedha kufikia mwisho wa 2010.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

During the discussion on revenue generation which most bloggers didn’t view as an incentive to their blogging quest, most admitted that despite signing up with international online advertising companies, there was very little to show for it with most eventually withdrawing from the service.

Swahili

Katika mjadala uliohusu upatikanaji mapato, kitu ambacho wanablogu wengi, hawakukichukulia kama kichocheo kikubwa katika kiu yao ya kublogu, wengi walikiri kwamba ingawa walikuwa wamejisajili katika makampuni ya kimataifa ya masoko ya mtandaoni, hakukuwa na kitu kikubwa kilichopatikana jambo lililowafanya wengi kujitoa katika huduma.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

College and university closures have a domino effect on economies with far-reaching implications.According to Linda Bilmes of the Harvard Kennedy School, "local hotels, restaurants, cafes, shops, car rental agencies and other local businesses obtain a significant share of annual revenue from graduation week and college reunions...

Swahili

Kufungwa kwa vyuo na vyuo vikuu kuna athari hasi kwenye uchumi na madhari ya kina kipana.Kwa mujibu wa Linda Bilmes wa Harvard Kennedy School, "hoteli za mtaani, mikahawa, kafe, maduka, mashirika ya kukodisha magari na biashara za ndani hupokea mgao wa kiasi kikubwa wa mapato kutokana na shughuli za mahafali na mikutano ya wanafunzi chuoni...

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

In the United States of America, Colleges and universities operate as "mini-cities" which generate significant revenue for cities, states, and regions.

Swahili

Nchini Marekani, Vyuo na Vyuo vikuu vinaendesha shughuli kama "miji midogo" inayozalisha kiasi cha haja cha mapato kwa miji, nchini na maeneo.

Last Update: 2020-08-25
Usage Frequency: 1
Quality:

Warning: Contains invisible HTML formatting

English

An incident in early July 2014 involving a production sharing agreement (PSA) between the Tanzanian Petroleum Development Corporation (TPDC) and the Norwegian multinational Statoil, along with Exxon Mobil, highlights how fraught the question of revenues from Tanzania’s gasfields—and who will benefit from them—has become.

Swahili

Tukio la mwanzoni mwa mwezi Julai 2014 lililohusu makubaliano ya ushirikiano katika uzalishaji (PSA) kati ya Shirika la Maendeleo ya Petroli la Tanzania (TPDC) na kampuni ya Norway ya kimataifa ya Statoil, sambamba na Exxon Mobil, ilionesha hali ya mashaka kuhusiana na suala la mapato kwenye uvunaji wa gesi nchini Tanzania na suala la nani kunufaika na mkataba huo.

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

English

“Another indication of the scale involved here,” wrote Taylor, “is that since the Norwegian government is Statoil’s majority shareholder, the extra revenue to the Norwegian government from this deal could be worth more than double the total of all Norwegian aid to Tanzania since independence.”

Swahili

“Ishara nyingine kuhusiana na mgawanyo huu,” aliandika Taylor, “ni kuwa, kwa kuwa serikali ya Norway ndiye mmiliki mkubwa wa Statoil, mapato ya ziada inayopata serikali ya Norway katika mradi huu yanaweza kuwa ni mara mbili zaidi ya misaada yote iliyowahi kutolewa na serikali ya Norway kwa Tanzania tangu Tanzania kupata uhuru.”

Last Update: 2016-02-24
Usage Frequency: 1
Quality:

Get a better translation with
4,401,923,520 human contributions

Users are now asking for help:We use cookies to enhance your experience. By continuing to visit this site you agree to our use of cookies. Learn more. OK