Google で調べる

検索ワード: transitional (英語 - スワヒリ語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

How do they perceive the transitional period under Houthis rule and what are their main concerns?

スワヒリ語

Wanakielewaje kipindi hiki cha mpito chini ya utawala wa wanamgambo wa Houthi na yepi ni matatizo yao makubwa?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

Debating laws, debating a budget, deciding on an electoral process and transitional justice and changing diplomacy.

スワヒリ語

Kujadili sheria, kujadili bajeti, kuamua kuhusu zoezi la uchaguzi na kutolewa kwa haki ya mpito na kubadilika kwa diplomasia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

Mitsangana Madagascar notes that the list includes 6 women and that 7 ministers were already part of the previous transitional government.

スワヒリ語

Mitsangana Madagascar anasema kwamba orodha hiyo ina wanawake 6 na kuwa mawaziri 7 walikuwa kwenye baraza la serikali iliyopita ya mpito.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

The Transitional Federal Government (TFG) is the internationally recognized government of the Republic of Somalia.

スワヒリ語

Serikali ya shirikisho ya mpito (TFG) ndiyo serikali ya Jamhuri ya Somalia inayotambulika kimataifa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

After political discussions in Ethiopian, leaders of various Somali parties agreed to political steps to end the transitional period and elect a new president.

スワヒリ語

Baada ya majadiliano ya kisiasa nchini Ethiopia, viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa vya Somalia walikubaliana kuchukua hatua za kisiasa ili kumaliza kipindi cha mpito na kumchagua Raisi mpya.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

Rajoelina announced the creation of a new transitional government, with himself as its leader, in spite of the fact that the current government is still in place.

スワヒリ語

Rajoelina alitangaza kuundwa kwa serikali ya mpito, na yeye mwenyewe akiwa kiongozi wa serikali, bila kujali ukweli kwamba serikali iliyopo sasa bado inashikilia nafasi hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

On the blog Rispito , the Guinean Samba Bari alleges that the disappearance is another challenge for the transitional authorities and that the situation could widen the fissure between the Guinean government not recognized by Luanda and the Angolan government.

スワヒリ語

Kwenye blogu ya Rispito , raia wa Guinea Samba Bari anadhani kuwa kutoweka kwa mwandishi huyo ni changamoto nyingine kwa serikali ya mpito na kuwa hali hiyo inaweza kuongeza misuguano kati ya serikali ya Guinea isiyotambuliwa na Luanda na serikali ya Angola.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

@oasanchez RT @democracynow: RT @sharifkouddous: Some want Baradei to be in type of transitional gov't.

スワヒリ語

@oasanchez RT @democracynow: RT @sharifkouddous: Baadhi wanataka Baradei awemo katika namna fulani ya serikali ya mpito.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

At least 25 people were shot dead today in Madagascar's capital Antananarivo during a march to the presidential palace called by the city's mayor Andry Rajoelina after he declared himself the leader of a new transitional government at a political rally.

スワヒリ語

Watu wapatao 25 walipigwa risasi na kuuwawa leo katika mji mkuu wa Madagaska, Antananarivo, wakati wa maandamano ya kuelekea ikulu ya nchi hiyo yaliyoitishwa na meya wa jiji Andry Rajoelina baada ya kujitangaza kama kiongozi wa serikali mpya ya mpito katika mkutano wa hadhara wa kisiasa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

In December of 2006 Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, currently only-in-name president of the Transitional Federal Government of Somalia, was on the run from the Ethiopian army, the CIA, and the U.S. Rangers.

スワヒリ語

Mwezi Desemba 2006, Sheikh Sharif Sheikh Ahmed, ambaye hivi sasa ni rais-kwa-jina-tu wa Serikali ya Mpito ya Shirikisho la Somalia, alikuwa analikimbia jeshi la Ethiopia, CIA, pamoja na wanamgambo wa Marekani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

They offer psychosocial support to the former victims of conflict, most of who suffer severe emotional pain and struggle with forgiveness, they have also supported over 5000 people with reconstructive surgeries especially the women whose lips were cut off, the initiative also supports income generating activities, have formed 100 peace clubs in schools and universities in northern Uganda and over 6000 young people have gone through the peace building and transitional justice programme.

スワヒリ語

Wanatoa msaada wa saikolojia ya inayohusiana na matatizo ya kijamii, wanatoa msaaada kwa wahanga wa migogoro iliyotokea kipindi cha nyuma, wengi wao wakiwa ni wale walio na maumivu makali ya kihisia na wanaohangaika kupata msamaha, pia wameshasaidia zaidi ya watu 5000 waliokuwa wanahitaji upasuaji wa kurekebisha sehemu za mwili hususani kwa wanawake ambao midomo yao ilikatwa. Mradi huu ambao pia unawawezesha vijana katika shughuli mbalimbali za kuwapatia kipato, umesaidia pia kuaanzishwa kwa klabu 100 amani kaitka mashule na kwenye vyuo vikuu Kaskazini mwa Uganda na zaidi ya vijana 6000 wameshahudhuria mafunzo ya kuimarisha amani na upatikanaji wa waki.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
4,401,923,520 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK