検索ワード: katibu mkuu kiongozi (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

katibu mkuu kiongozi

英語

chief secretary general

最終更新: 2023-12-14
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katibu mkuu kiongozi in english

英語

the greatest chef in english

最終更新: 2023-12-22
使用頻度: 1
品質:

スワヒリ語

katibu mkuu

英語

local executive grade 2

最終更新: 2021-05-14
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu,

英語

mr. secretary general,

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wa wilaya

英語

the district administrative secretary

最終更新: 2024-05-22
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wizara ya afya

英語

permanent secretary to the ministry of health

最終更新: 2022-10-26
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wazira ya kilimo

英語

the secretary-general of agriculture

最終更新: 2022-06-30
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu tume ya utumishi wa umma

英語

the public service commission

最終更新: 2022-06-16
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

zitto kabwe hatakuwa tena naibu katibu mkuu wa chama wala naibu kiongozi mkuu wa kambi rasmi ya upinzani.

英語

he will no longer be the party’s deputy secretary, nor deputy leader of the opposition in parliament.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wa wizara ya afya nchini madagaska philémon tafangy alitambua hatari:

英語

secretary general of the madagascar ministry of health philémon tafangy recognized the risk:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki-moon akizungumza mjini lusaka, zambia.

英語

the un secretary-general ban ki-moon speaking in lusaka, zambia.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mhe. katibu mkuu, tunajua unatutaka tufuate mataifa mengine kwa kutokuchukulia ushoga kuwa jinai.

英語

mr sg, we know you want us to follow other nations by not criminalising homosexuality.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

biti ni katibu mkuu wa mdc, kinachoongozwa na waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo, morgan tsvangirai.

英語

biti is the secretary general for movement for democratic change, led by former prime minister morgan tsvangirai.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

katibu mkuu wa umoja wa mataifa ban ki-moon alisema watu wa historia mbalimbali za kiutamaduni wanahitaji kuthaminiwa utu wao na heshima.

英語

united nations secretary general ban ki-moon says people with different cultural backgrounds need dignity and respect.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

tafadhali bw. katibu mkuu, sisi kama wa-zambia tumeridhia kuwa tu taifa la kikristo, ni katiba yetu na hiyo inakuwa haki yetu.

英語

please mr secretary general, we as zambians have accepted that we are a christian nation, it is in our constitution and so becomes our right.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

paul nsapu, katibu mkuu wa muungano wa kimataifa wa haki za binadamu barani afrika unaofanya kazi zake kinshasa, anashangazwa na hatua kali zilizochukuliwa na serikali:

英語

paul nsapu, secretary general for africa of the international federation for human rights in kinshasa, is appalled by the excessive measures taken by the government:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kifo cha chiluba kiliondokea kuwa suala moto katika kampeni kwa chama cha mmd ambacho wanachama wake walitishia kumpiga sata ikiwa angehudhuria mazishi ya aliyewahi kuwa kiongozi wake ambaye chini yake alitumikia siyo tu kama waziri bali pia kama katibu mkuu wa mmd.

英語

chiluba’s death became a hot campaign issue for the mmd whose cadres threatened to beat sata if he attended the funeral of his once boss under whom he saved not only as cabinet minister but as the mmd’s national secretary.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

waasi ndani ya chama hicho wakiongozwa na katibu mkuu wa mdc tendai biti walimsimamisha morgan tsvangirai na vigogo wengine kwa tuhuma za kuzuia mabadiliko ya uongozi na kushindwa kumng'oa rais robert mugabe.

英語

rebels within the party led by mdc secretary general tendai biti suspended morgan tsvangirai and other senior officials accusing them of resisting leadership change and failing to oust president robert mugabe.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kwa upande wake, mohamed ould rabani, katibu mkuu wa baraza hru la walimu wa shule za sekondari, waliuponda uhamisho huo kama hatua ya hatari katika historia ya mauratania na kuwaomba wenzake kutokutii amri ya wizara.

英語

for his part, mohamed ould rabani, secretary general of the independent syndicate of secondary education teachers, slammed the transfer as a dangerous precedent in the history of mauritania and asked his colleagues not to conform to the ministry's orders.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

aliyekuwa katibu mkuu wa nato wa masuala ya uhusiano wa kimataifa kolinda grabar kitarović amechaguliwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi ya croatia, kwa kumshinda rais aliyemaliza muda wake katika uchaguzi wa kwanza kabisa mara baada ya nchi hii ndogo ya ulaya ya kusini kujiunga na jumuia ya umoja wa ulaya mapema mwaka jana.

英語

former nato assistant secretary general for public diplomacy kolinda grabar kitarović has been elected croatia's first woman president, defeating the incumbent president in the first presidential elections since the small southeastern european country joined the european union last year.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,800,436,819 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK