プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。
naweza kuhisi
i can feel
最終更新: 2021-09-06
使用頻度: 1
品質:
参照:
sitaki kuhisi hatari
psycho
最終更新: 2022-02-04
使用頻度: 1
品質:
参照:
mikono yangu inagusa na kuhisi
my hands touch and feel you
最終更新: 2023-10-31
使用頻度: 1
品質:
参照:
michango ni mingi, na bado waathirika wa kimbunga kubaki na njaa na kuhisi baridi.
donations are overflowing, and yet typhoon victims remain hungry and cold.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
kwa hakika, kwa kuitazama picha hii, tunaweza kuhisi hamasa iliyopo katika kundi hili la waimbaji.
we can almost feel the energy of this band in this photo.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
mbinu ya pili, kisehemu cha chanjo, kinakusudia kuunda chanjo ambayo inafanya mfumo wa kinga kuhisi visehemu fulani vya virusi.
a second strategy, subunit vaccines, aims to create a vaccine that sensitises the immune system to certain subunits of the virus.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
@iamneshynsky: watu wasikimbilie kufanya mahitimisho na kuhisi ni shambulio la al shabaab...chochote kinawezekana katika tukio hilo #nairobiblast
@iamneshynsky: people should stop jumping into conclusion and say its an al shabaab atack..it could be anything at this point #nairobiblast
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
dalili zingine zinaweza kujumuisha uchovu, maumivu ya misuli, kuhara, vidonda vya koo, kupoteza hisia ya kuhisi harufu, na maumivu ya tumbo.
other symptoms may include fatigue, muscle pain, diarrhea, sore throat, loss of smell, and abdominal pain.
最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:
参照:
nchini marekani, inaonekana kuwa jambo kama hilo linaweza kusababisha taasisi za huduma za jamii kuitwa ili kutathmini hali, au watoto hapa huweza kuhisi namna fulani ya kuwachukia wazazi wao kutokana na adhabu kama hizo.
in america, it seems that such a thing can result in social services being called in to review the situation or children here feel some sort of resentment towards their parents for it.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照:
natamani kuhisi mikono yako karibu yangu na kuonja busu zako tamu. kuwa mbali na wewe ni uchungu, kwa hivyo kulala kwa amani kunaweza kutuzunguka sisi wote hadi mwangaza wa asubuhi ya kwanza uchunguze kupitia dirishani. usiku mwema mpenzi!
i long to feel your arms around me and to taste your sweet kisses. being apart from you is agony, so may peaceful sleep surround us both until the first morning light . goodnight honey!
最終更新: 2021-06-08
使用頻度: 1
品質:
参照:
blanca, montse, na wenzao ni mifano ya kimaadili kwamba tunawahitaji katika nyakati hizi za kutokuwa na uhakika na kutoaminiana. (...) jamii yetu yapaswa kutafuta njia ya kuhisi ukaribu wetu, kukubali juhudi kubwa sana na kazi muhimu ambayo imesababisha hali hii ya kupindukia.
blanca, montse, and their colleagues are the moral examples that we need in these times of uncertainty and mistrust. (...) our society should look for a way to feel our embrace, to acknowledge the enormous effort and valuable work that has led them to this extreme situation.
最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:
参照: