検索ワード: rufaa (スワヒリ語 - 英語)

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

スワヒリ語

英語

情報

スワヒリ語

rufaa

英語

refferal

最終更新: 2019-03-06
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

kukata rufaa

英語

appeal will be submitted to for determination

最終更新: 2021-11-19
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

amepewa siku 14 kukata rufaa…

英語

he has 14 days to appeal…

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hospitali ya rufaa ya kanda ya kusini

英語

the regional referral hospital

最終更新: 2024-04-18
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

naipitia kuona uwezekano wa kisheria/rufaa kwa msaada wa wanasheria wangu

英語

reviewing my legal/appeals options with lawyers #ngotrial

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

wagonjwa wakiwa wamekaa chini katika hospitali ya rufaa ya taifa ya mulaago.

英語

patients on the floor of mulago hospital, the national referral hospital.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

baada ya rufaa iliyokatwa na wanasheria wake, kesi ya abd el fattah ilisikilizwa upya mnamo agosti 2014.

英語

after an appeal by his lawyers, abd el fattah was issued a retrial in august 2014.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

-baraza la kijeshi limetishia kuvunja bunge kwa kukata rufaa katika mahakama kuu ya katiba.

英語

- scaf has threatened to dissolve parliament by appealing against the head of the supreme constitutional court.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, mpaka leo hawajaachiliwa huru kwa sababu mwendesha mashtaka anasekana kukata rufaa dhidi ya uamuzi huo.

英語

however, until today they have not been released because the prosecutor has reportedly appealed the decision.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

diário do centro do mundo imekata rufaa kwa google na imejulishwa kwamba itegemee kupata majibu rasmi ndani ya kipindi cha siku 10.

英語

diário do centro do mundo has appealed the case with google and has been told to expect an official reply within 10 days' time.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mzee huyo bado anahangaika kwa kudai haki yake mbele ya mahakama ya mwanzo jijini skopje na anapanga kukata rufaa kwenye mahakama ya ulaya ya hai za binadamu jijini strasbourg.

英語

the elderly man is still protesting in front of a primary court in skopje and plans to appeal to the european court of human rights in strasbourg.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

mtandao wa china beat ulisaili maoni ya raia wa mtandaoni juu ya kisasi cha bw. ni, ambayo ina ufanisi zaidi kuliko kujaribu kukata rufaa dhidi ya kesi.

英語

china beat highlightes netizens' comments on ni's revenge, which is a lot more effective than trying to petition the case.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

@rbecker51: ninasisitiza sina hatia kwenye mashitaka haya ya kuanzisha ngo miaka sita kabla ya mimi kuwasili nchini misri na kwa sasa ninasubiri mipango ya rufaa yangu

英語

@rbecker51: #pt maintaining my innocence on charges of starting ngo six years before i actually arrived in egypt & waiting for appeal strategy #ngotrial

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名
警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

スワヒリ語

lakini baada ya upuuzi uliotokea florida, maamuzi ya mahakama ya rufaa, na urais dhaifu uliofuatia, nilijifunza somo moja: si kweli kuwa wanasiasa wote wako sawa.

英語

but after the debacle in florida, the supreme court decision, and the abysmal presidency that followed, i learned a simple lesson: not all politicians are equal.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

スワヒリ語

hata hivyo, kukiwa na rufaa inayokaribia kukatwa na uwezekano wa hatua zitakazochukuliwa na mahamakama ya haki za binadamu ya ulaya, l4l, blogu mpya ya lugha ya kiingereza ya azeri, inasema kwamba huu ni mwanzo tu:

英語

however, with an appeal due to be lodged and possible action in the european court of human rights, l4l, a new english-language azeri blog, says that this is just the beginning.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

参照: 匿名

人による翻訳を得て
7,799,728,397 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK