検索ワード: comprehensive (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

comprehensive

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

we know what the earth consumes of them, and with us is a comprehensive book.

スワヒリ語

hakika sisi tunajua kiasi cha kila kinacho punguzwa na ardhi kutokana nao. na kwetu kipo kitabu kinacho hifadhi yote.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

and how can you have patience in that of which you have not got a comprehensive knowledge?

スワヒリ語

na utawezaje kuvumilia yale usiyo yajua vilivyo undani wake?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

brazil has very clear and comprehensive laws regulating elections but the problem is enforcing these laws.

スワヒリ語

brazil ina sheria zilizo wazi na timilifu ambazo zinadhibiti uchaguzi klakini tatizo lipo kwenye utekelezaji wa sheria hizo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the african elections portal provides comprehensive election related information on the various countries in africa.

スワヒリ語

kwa mujibu wa mwanablogu eric chilenje, uchaguzi wa 2009 nchini malawi utakuwa na ushindani mzito:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

certainly he has a comprehensive knowledge of them and he has numbered them a (comprehensive) numbering.

スワヒリ語

yeye hakika amewadhibiti na amewahisabu sawa sawa.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

today, thousands continue to suffer due to the lack of a comprehensive government master plan to rehabilitate the devastated region.

スワヒリ語

leo, maelfu bado wanaendelea kuteseka kutokana na ukosefu wa mpango wa kina wa serikali wa kukarabati eneo lililoharibiwa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

until when they come, he will say: did you reject my communications while you had no comprehensive knowledge of them?

スワヒリ語

hata watakapo fika, atasema (mwenyezi mungu): je! nyinyi si mlizikanusha ishara zangu pasipo kuzijua vyema?

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

i hope president obama is not over-calculating his chances for comprehensive immigration reform later this year by appeasing the fair constituency on this crucial humanitarian issue.

スワヒリ語

natumaini rais obama hatumii jambo hili kupima fursa zake za kuleta mageuzi makubwa katika mfumo wa uhamiaji baadaye mwaka huu kwa kuwafurahisha fair kuhusu jambo hili lenye umuhimu wa pekee katika masuala ya kiutu.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

"it is seen that all internal and external peace actors are visibly performing against the ethics of peace process and bouncing beyond the edge of comprehensive peace accord.

スワヒリ語

“inaonekana kuwa watendaji wa ndani na wa nje wanaonekana wazi jinsi wanavyopinga maadili ya mchakato wa amani na jinsi wanavyodunda mbali na ukingo wa mkataba wa amani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

he is also the co-author of one of the most comprehensive studies on social attitudes towards media in the middle east, which you can read here in this fascinating interactive website.

スワヒリ語

pia alishiriki kuandika moja ya maandishi muhimu zaidi kuwahi kuandikwa kuhusu mitazamo ya kijamii kwa vyombo vya habari katika eneo la mashariki ya kati, ambalo unaweza kulisoma katikatovuti hii bora inayoshirikisha wasomaji wake.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

nothing was confirmed yet, and rumors were circulating; however, zeinobia was trying to gather updates from different sources newspapers and tv channels in a quick but comprehensive roundup.

スワヒリ語

hakuna lililothibitishwa mpaka sasa, na uvumi unaenea; hata hivyo, zeinobia alijaribu kukusanya habari kama zinavyotokea kutoka vyanzo tofauti vya magazeti na idhaa za televisheni katika muhtasari.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

from providing refugees with access to information on health and educational opportunities to using facebook, gmail chat and skype to maintain connections with family members and friends across geographical divides, the issue provides a comprehensive overview of how icts are being used.

スワヒリ語

kutoka kuwapa wakimbizi upatikanaji wa habari juu ya afya na fursa za elimu mpaka utumiaji wa facebook, maongezi kwa ktumia gmail na skype ili kudumisha mawasiliano na wanafamilia na marafiki kuvuka mipaka ya kijiografia, toleo hili limetoa picha kamili ya jinsi gani tknohama inavyotumika.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

on march 5, the european union agency for fundamental rights (fra) published the results of a survey on violence against women , the most comprehensive of its kind ever conducted.

スワヒリ語

machi 5, umoja wa shirika la ulaya kwa haki za msingi (fra) ilichapisha matokeo ya utafiti juu ya unyanyasaji dhidi ya wanawake, uliokuwa wa kina zaidi na wa aina yake kuwahi kufanywa.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

indeed, abraham was a [comprehensive] leader, devoutly obedient to allah, inclining toward truth, and he was not of those who associate others with allah.

スワヒリ語

hakika ibrahim alikuwa mfano mwema, mnyenyekevu kwa mwenyezi mungu, mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

最終更新: 2014-07-03
使用頻度: 1
品質:

英語

according to the seventh edition (3 march 2020), to confirm the suspected case needs to combine any one item of epidemiological history features with two items of clinical manifestations to make a comprehensive analysis, or needs to meet three items of clinical manifestations if without clear epidemiological history:

スワヒリ語

kulingana na toleo la saba (tarehe 3 machi 2020), kuthibitisha visa vinavyoshukiwa kunahitaji kujumuisha kipengee chochote kimoja cha vipengele vya historia ya kiepidimiolojia na vipengee viwili vya udhihirishaji wa kimatbabu ili kufanya uchunguzi tondoti au mahitaji ya kukidhi vipengee vitatu vya udhihirisho wa kimatibabu ikiwa hakuna historia wazi ya kiepidimiolojia:

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,786,448,549 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK