検索ワード: mobile phone client (英語 - スワヒリ語)

コンピュータによる翻訳

人が翻訳した例文から、翻訳方法を学びます。

English

Swahili

情報

English

mobile phone client

Swahili

 

から: 機械翻訳
よりよい翻訳の提案
品質:

人による翻訳

プロの翻訳者、企業、ウェブページから自由に利用できる翻訳レポジトリまで。

翻訳の追加

英語

スワヒリ語

情報

英語

a mobile phone technician

スワヒリ語

fundi wa simu

最終更新: 2023-09-29
使用頻度: 1
品質:

英語

email is a mobile phone

スワヒリ語

barua simu

最終更新: 2024-05-23
使用頻度: 1
品質:

英語

they denied me and seized my mobile phone violently ….

スワヒリ語

walinikatalia na kuharibu kikatili simu yangu….

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

how to transfer money from a bank account to a mobile phone

スワヒリ語

nihuduma ya kutuma pesa kutoka kwenye bank kwenda kwenye simu

最終更新: 2023-07-20
使用頻度: 1
品質:

英語

a young man texting on his mobile phone in dar es salaam, tanzania.

スワヒリ語

kijana akiandika ujumbe wa maandishi kwa kutumia simu yake ya mkononi jijini dar es salaam, tanzania.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

this includes demanding information from internet service providers and mobile phone networks.

スワヒリ語

hii ni pamoja na kudai taarifa za mtumiaji kutoka kwenye makampuni yanayotoa huduma za intaneti na mitandao ya simu za mkononi.

最終更新: 2023-09-24
使用頻度: 1
品質:

英語

in march 2020, the israeli government enabled security agencies to track mobile phone data of people supposed to have coronavirus.

スワヒリ語

mwezi machi 2020, serikali ya israeli iliwezesha mashirika ya usalama kufuatilia data ya simu za mkononi za watu wanaoaminika kuwa na virusi vya korona.

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

英語

"gustav praekelt - one of the most knowledgeable mobile phone specialists in africa - is helping to run the program.

スワヒリ語

"gustav praekelt - mmoja wa wataalamu wa simu za viganjani wenye ufahamu mkubwa - anasaidia kuendesha programu hiyo.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

on december 18, 2008, millions of thai mobile phone subscribers got this text message from the newly installed prime minister abhisit vejjajiva:

スワヒリ語

mnamo disemba 18, 2008, mamilioni ya wateja wa simu za viganjani wa thailand walipokea ujumbe huu kutoka kwa waziri mkuu mpya abhisit vejjajiva:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

individuals may also have difficulty accessing electricity to charge their mobile phones.

スワヒリ語

watu wanaweza pia kuwa na ugumu wa kupata umeme wa kuchaji simu zao za mkononi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

ashifi gogo from ghana is an entrepreneur with an innovative solution involving mobile phones.

スワヒリ語

ashifi gogo wa ghana, ni mjasiriamali ambaye amezindua ubunifu wa kutumia simu za mkononi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

if something similar could be rolled out nationwide allowing people with just a mobile phone to post questions and receive responses from party candidates this could prove very useful in engaging all south africans.

スワヒリ語

kama mpango huu utasambazwa nchini kote na kuruhusu watu wenye simu za mkononi kutuma maswali yao na kupokea majibu kutoka kwa wagombea, hatua hiyo itakuwa yenye manufaa sana katika kuwashirikisha waafrika ya kusini wote.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

sudanese blogger and global voices author drima believes that internet and mobile phones are not enough.

スワヒリ語

mwanablogu wa sudani na mwandishi wa global voices drima anaamini kuwa intaneti na simu za viganjani havitoshi.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

mobile phones are paralyzed and land telephones are static or distorted and other times, it is clear!

スワヒリ語

simu za mikononi zimezimika na zile za majumbani zimeganda au hazisikiki vyema na wakati mwingine, husikika!

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

at the end of 2012, the nigerian ministry of agriculture made public its plans to provide free mobile phones to rural farmers.

スワヒリ語

mwisho wa mwaka wa 2012, wizara ya kilimo ya nigeria ilitangaza mipango yake ya kutoa simu za mkono bure kwa wakulima vijijini.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the sun asks if farmers really need new mobile phones, when they already have one or have other sources of information?

スワヒリ語

jarida la sun linauliza kama kweli wakulima wanahitaji simu mpya za mkono, wakati tayari wana namna moja au nyingine ya vyanzo vya habari?

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

the initiative launched the ‘i paid a bribe kenya’ integrated sms system in may this year to allow over 25 million kenyans with access to a mobile phone to report and share their bribe experiences on the site:

スワヒリ語

'i paid a bribe kenya ' pia ilizindua namna ya kutumia ujumbe mfupi wa simu ili kuwawezesha wakenya zaidi ya milioni elfu ishirini na tano kuwasilisha ripoti zao.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

italian regional health commissioner giulio gallera said he has been informed by mobile phone operators that "40% of people are continuing to move around anyway".

スワヒリ語

giulio gallera, kamishna wa afya wa mkoa wa italia, alisema kuwa amearifiwa na watoa huduma ya simu ya mkononi kuwa "asilimia 40 ya watu waendelea kutembea-tembea tu".

最終更新: 2020-08-25
使用頻度: 1
品質:

警告:見えない HTML フォーマットが含まれています

英語

kikiowo ileowo asks where the government got the statistics – that warrants 10 million mobile phones for 10 million farmers – from:

スワヒリ語

kikiowo ileowo anauliza mahali ambapo serikali ilitoa takwimu - kwamba simu za mkono milioni 10 zilihitajika kwa wakulima milioni 10:

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

英語

a group of malawian bloggers were trained by penplusbytes, an international institute of ict journalism in collaboration with new media institute to monitor and comment on the elections using blogs, twitter and mobile phones.

スワヒリ語

kikundi cha wanablogu kilipewa mafunzo na penplus bytes, taasisi ya kimataifa ya uandishi wa teknohama kwa ushirikiano na new media insitute kwa lengo la kuangalia na kutoa maoni yao kuhusu uchaguzi huo kwa kutumia blogu, teknolojia ya twita na simu za viganjani.

最終更新: 2016-02-24
使用頻度: 1
品質:

人による翻訳を得て
7,781,524,250 より良い訳文を手にいれましょう

ユーザーが協力を求めています。



ユーザー体験を向上させるために Cookie を使用しています。弊社サイトを引き続きご利用いただくことで、Cookie の使用に同意していただくことになります。 詳細。 OK