검색어: walifanya (스와힐리어 - 독일어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

German

정보

Swahili

walifanya

German

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

독일어

정보

스와힐리어

ambao walifanya jeuri katika nchi?

독일어

denjenigen, die im lande gewalttätig waren

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao.

독일어

genauso taten schon jene vor ihnen.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, tangu siku hiyo viongozi wa wayahudi walifanya mipango ya kumwua yesu.

독일어

von dem tage an ratschlagten sie, wie sie ihn töteten.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulipopambazuka, makuhani wakuu wote na wazee wa watu walifanya mashauri juu ya yesu wapate kumwua.

독일어

des morgens aber hielten alle hohenpriester und die Ältesten des volks einen rat über jesus, daß sie ihn töteten.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mitume walifanya miujiza na maajabu mengi kati ya watu. waumini walikuwa wakikutana pamoja katika ukumbi wa solomoni.

독일어

es geschahen aber viel zeichen und wunder im volk durch der apostel hände; und sie waren alle in der halle salomos einmütig.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kwa hakika walifanya vitimbi vyao, na vitimbi vyao anavijua mwenyezi mungu. wala vitimbi vyao si vya kuondosha milima.

독일어

und bereits haben sie ihre intrigen geplant. doch bei allah sind ihre intrigen bekannt, und obgleich ihre intrigen so (heftig) waren, daß davon die berge vergehen würden.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uhamisho wa walimu ulizingatia taarifa za waratibu elimu kupitia kwa magavana na barua za magavana zilieleza kwamba walimu hao walifanya siasa kwa kushiriki mgomo huo batili.

독일어

die versetzung der lehrer beruht auf den berichten von direktoren durch die gouverneure und den briefen von briefen der gouverneure, die besagten, dass sie streiks anstifteten und politik betrieben.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakasema, watu hawa walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa na wao hali sisi tumevumilia kazi ngumu kutwa na jua kali?

독일어

und sprachen: diese haben nur eine stunde gearbeitet, und du hast sie uns gleich gemacht, die wir des tages last und die hitze getragen haben.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi yao walifanya kazi na blogu ya pamoja iitwayo zone9 inayochambua masuala ya kijamii na kisiasa yanayoendelea nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kukuza uelewa wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi.

독일어

einige von ihnen waren für das bloggerkollektiv zone 9 aktiv, das über soziale und politische themen in Äthiopien berichtete und sich für menschenrechte und rechenschaftspflicht der regierung eingesetzt hat.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya shauri pamoja na wazee, walimu wa sheria na baraza lote, wakamfunga yesu pingu, wakampeleka na kumkabidhi kwa pilato.

독일어

und bald am morgen hielten die hohenpriester einen rat mit den Ältesten und schriftgelehrten, dazu der ganze rat, und banden jesum und führten ihn hin und überantworteten ihn dem pilatus.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jumuiya ya global voices na mtandao wa marafiki na washirika wetu tunadai kuachiwa kwao, kwa kuwa walifanya kazi kwa bidii katika kupanua fursa ya uchambuzi wa kijamii na kisiasa nchini ethiopia kupitia uandishi wa kiraia na ule wa kawaida.

독일어

die global voices gemeinschaft und unser netzwerk aus freunden und unterstützern fordert die freilassung dieser neun männer und frauen. jeder von ihnen hat hart gearbeitet, um sowohl durch das bloggen als auch durch herkömmlichen journalismus in Äthiopien freiräume für meinungsäußerungen zu sozialen und politischen themen zu schaffen.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na ingawa latipov anasema kwamba mabishano hayo hayakuanzia kwake, lakini ukweli kuwa rangi yao ilikuwa sababu tosha kwa wahafidhina wa kirusi kudhania kuwa wa-rusi hao wawili walifanya hayo katika jitihada za kujilinda.

독일어

und obwohl latipov sagt, er habe die auseinandersetzung nicht provoziert, reicht seine schiere herkunft für russische nationalisten aus, um zu vermuten, dass die beiden russen in notwehr handelten.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kumbukeni pia sodoma na gomora, na miji ya kandokando yake; wenyeji wake walifanya kama wale malaika; walifanya uzinzi na mambo yaliyo kinyume cha maumbile, wakapewa hukumu ya moto wa milele, iwe onyo kwa watu wote.

독일어

wie auch sodom und gomorra und die umliegenden städte, die gleicherweise wie diese unzucht getrieben haben und nach einem andern fleisch gegangen sind, zum beispiel gesetzt sind und leiden des ewigen feuers pein.

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,768,215,021 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인