검색어: walifanya (스와힐리어 - 스페인어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

Spanish

정보

Swahili

walifanya

Spanish

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

스페인어

정보

스와힐리어

ambao walifanya jeuri katika nchi?

스페인어

que se habían excedido en el país

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wengine walifanya hukumu hiyo iwe kichekesho:

스페인어

algunos reaccionaron con sentido del humor:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kama hivyo walifanya walio kuwa kabla yao.

스페인어

así hicieron sus antecesores.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wa manjano walifanya hivyo hivvyo. nani anajali? #redshirt

스페인어

¿a quien le interesa? #redshirt

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

basi, tangu siku hiyo viongozi wa wayahudi walifanya mipango ya kumwua yesu.

스페인어

así que, desde aquel día resolvieron matarle

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@3yyash: watunisia walifanya mapinduzi, yao ni ya kweli na sisi tumeiga tu..

스페인어

@3yyash: túnez hizo una revolución, son los genuinos y nosotros somos la copia...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

walifanya upasuaji bure kwa wagonjwa waliokuwa na uhitaji katika nchi walizozuru, kwa ushirikiano na hospitali za wenyeji.

스페인어

realizan gratuitamente intervenciones quirúrgicas en pacientes que lo necesitan en los países que visitan en colaboración con los hospitales locales.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati kura ya kumng'oa waziri mkuu haukuja bila kutarajiwa, baadhi walifanya uchambuzi wa hali hiyo.

스페인어

a pesar que la destitución no es ninguna sorpresa, varias fuentes han brindado su análisis de la situación.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na kwa hakika walifanya vitimbi vyao, na vitimbi vyao anavijua mwenyezi mungu. wala vitimbi vyao si vya kuondosha milima.

스페인어

urdieron intrigas, pero alá las conocía, y eso que eran intrigas como para trasladar montañas.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa sasa, mbwa huyo yupo kwenye kliniki kwa ajili ya ungalizi wa karibu, ambapo wataalamu wa mifugo walifanya utabibu wa mionzi na kumhasi.

스페인어

ahora se encuentra en rehabilitación en una clinica, donde los veterinarios le realizaron una ecografía y la esterilizaron.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakasema, watu hawa walioajiriwa mwisho walifanya kazi kwa muda wa saa moja tu, mbona umetutendea sawa na wao hali sisi tumevumilia kazi ngumu kutwa na jua kali?

스페인어

diciendo: "estos últimos trabajaron una sola hora, y los has hecho iguales a nosotros, que hemos soportado el peso y el calor del día.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baadhi yao walifanya kazi na blogu ya pamoja iitwayo zone9 inayochambua masuala ya kijamii na kisiasa yanayoendelea nchini ethiopia ikiwa ni pamoja na kukuza uelewa wa haki za binadamu na uwajibikaji wa serikali kwa wananchi.

스페인어

varios de estos hombres y mujeres habían trabajado con zone9, un blog colectivo que trataba cuestiones políticas y sociales en etiopía y promovía los derechos humanos y la responsabilidad que debe asumir el gobierno.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulipopambazuka, makuhani wakuu walifanya shauri pamoja na wazee, walimu wa sheria na baraza lote, wakamfunga yesu pingu, wakampeleka na kumkabidhi kwa pilato.

스페인어

y luego, muy de mañana, cuando los principales sacerdotes ya habían consultado con los ancianos, con los escribas y con todo el sanedrín, después de atar a jesús, le llevaron y le entregaron a pilato

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@champoj: msifanye makosa yale yale ambayo baba zenu walifanya. jifunzeni kwao myafanye maisha yenu kuwa bora zaidi hata kama tunasherekea siku ya uhuru afrika!

스페인어

@champoj: no cometan los mismos errores que cometieron sus padres, aprendan de ellos y hagan su vida todavía más brillante, ¡estamos celebrando el día de la libertad de África!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na ingawa latipov anasema kwamba mabishano hayo hayakuanzia kwake, lakini ukweli kuwa rangi yao ilikuwa sababu tosha kwa wahafidhina wa kirusi kudhania kuwa wa-rusi hao wawili walifanya hayo katika jitihada za kujilinda.

스페인어

y aunque latipov dice que el altercado no fue provocado de su parte, el hecho de su etnia fue razón suficiente para que los rusos nacionalistas asumieran que los dos rusos estaban actuando en defensa propia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mnamo tarehe 25 machi, wanablogu kadhaa wa kenya walifanya mkutano katika mji mkuu wa nchi hiyo, nairobi, mkutano uliitishwa na bake ( bloggers association kenya).

스페인어

el viernes 25 de marzo diversos blogueros kenianos celebraron una reunión en la capital de kenia, nairobi, bajo la recientemente formada bake (asociación de blogueros de kenia).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wawakilishi wa mashirika yanayoratibu miundombinu ya kiufundi ya huduma ya intaneti waliokutana huko montevideo; uruguay, wametoa tamko kuhusu mustakabali wa ushirikiano katika masuala ya intaneti , ambapo walifanya uchanganuzi kuhusiana na changamoto zinazoathiri mustakabali wa mtandao wa intaneti.

스페인어

representantes de las organizaciones que administran la infraestructura técnica de internet reunidos en montevideo, uruguay, han emitido una declaración sobre el futuro de la cooperación de internet, donde analizan los problemas que actualmente afectan al futuro de internet.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, kuna wachache, bila kujali ni wachache kiasi gani, walipora vifaa na mahitaji yasiyo ya msingi, walifanya ujambazi majumbani, na kwa makusudi walichoma moto maduka, bila kujali ukweli kwamba serikali ya chile iliruhusu watu kuchukua mahitaji, kama vile maziwa, maziwa ya unga ya watoto, mikate na unga.

스페인어

no obstante, una minoría, aunque pequeña, saqueó artículos no esenciales, robó en casas, e incendió intencionalmente supermercados, a pesar del hecho que el gobierno chileno permitió a la gente tomar artículos de primera necesidad, como leche, leche maternizada, pan, y harina.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,743,000,689 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인