전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kusimulia habari za kidijitali kuhusu masuala muhimu kwa jamii.
سرد القصص الرقمية عن الشئون المهمة للمجتمع.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
msaada endelevu ni suala la lazima katika kutengeneza jamii ya uandishi wa kidijitali wenye faida.
الدعم المستمر مهم جدًا لإنشاء مجتمع لإنتاج للقصص الخبرية الرقمية.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tulibuni kompyuta hii kusaidia kupunguza pengo kati ya walio mtandaoni na wale wasiomudu huduma za kidijitali, lakini pia upanuzi wa matumizi ya kompyuta mashuleni.
قمنا بتصميم هذا الكمبيوتر للمساعدة في تقليل الفجوة الرقمية و لكن أيضًا لتوسيع استخدام الحاسبات في المدارس.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tangu mwaka 2006, mikutano ya global voices imewaleta pamaja wanaharakati wa kidijitali, wabunifu pamoja na jamii za uandishi wa kiraia kutoka duniani kote.
منذ عام 2006 تستضيف مؤتمرات الأصوات العالمية رواد النشطاء الرقميين ومجتمعات إعلام المواطن من كل أنحاء العالم.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
zana za kidijitali zilizorahisi kutumia zinasaidia watu kutengeneza maudhui kwa lugha zao, na kusaidia upatikanaji wa mtandao wa wazungumzaji wa lugha hizi, bila kujali sehemu za kijiografia.
وتمنح أدوات رقمية، سهلة الاستخدام، المزيد من الناس القدرة على كتابة المحتوى بلغتهم، وبالتالي تعتبر الإنترنت للمتحدثين بهذه اللغات وسيلة للتواصل، بغض النظر عن المسافات الجغرافية.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
amefanya kazi kwa bidii kuwaunganisha waandishi wa global voices na wataalam wa sera za mtandao wa intaneti duniani kote, jitihada ambazo zilifanikiwa kuwafanya waandishi wengi wapate fursa ya kushiriki majadiliano ya kimataifa kuhusu haki za kidijitali.
عملت إليري على بناء صلات بين الأصوات العالمية وخبراء سياسات الإنترنت في العالم، ونجح ذلك في ضخ دماء جديدة في الحديث المستمر عن الحقوق الرقمي على المستوى العالمي.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
kampeni hii itamulika kazi za watu mbalimbali na makundi yaliyojitoa kutumia lugha zao kwenye mtandao wa intaneti, wengi wanaoweza kutambuliwa kama "wanaharakati wa kidijitali wa lugha" kwa nafasi zao katika kuunganisha pengo hili na kuhamasisha kizazi kipya cha wazungumzaji.
تلقي هذه الحملة الضوء على عمل الكثير من الأفراد والجماعات المهتمين باستخدام لغاتهم على الإنترنت، يعتبر الكثير منهم "نشطاء لغويين رقميين"، وذلك لدورهم في هدم الحواجز أمام متحدثي هذه اللغات، والمساهمة في بناء أجيال جديدة من المتحدثين.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다