검색어: vipi hali ya hababa na babu (스와힐리어 - 아랍어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

아랍어

정보

스와힐리어

vipi hali ya hababa na babu

아랍어

ماذا عن الأب والأب

마지막 업데이트: 2023-09-07
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hali ya uhuru wa dini nchini maldivi

아랍어

وضع حرية العقيدة في جزر المالديف

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lilianzishwa na kupewa muundo na babu yake mwaka 1927.

아랍어

وقد تأسست عام 1927 على يد جده.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nchi zinaendelea kufadhili maendeleo ya silaha za hali ya juu.

아랍어

وتستمر البلدان في تمويل تطوير الأسلحة ذات التقنية العالية.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wanajitahidi kwa kadiri wawezavyo kukabiliana na hali ya hewa ya baridi kali.

아랍어

يحاولون جاهدين محاربة المناخ البارد.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

asalam alaikum vipi hali yako?pole sana kwa kuumwa allah akupe afya amee

아랍어

كيف تشعر حيال صحة الله؟

마지막 업데이트: 2023-11-18
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

huku kushupaliwa kwa bikira kumekosa kina zaidi ya yote na kuna hali ya umauti zaidi.

아랍어

وهاجس العذرية هذا، ضحل فى أحسن احواله وفتّاكا فى أسوءها.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@mosaabrizing: kuna hali ya ghadhabu katika mkutano wa muslim brotherhood.

아랍어

@alguneid: الجيش المصري يسلب مرسي السلطة الآن

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tangazo la hali ya hatari ya baridi kwa watoto wa syria liliowekwa na unicef mnano mwezi desemba 2012 katika njia ya treni ya chini kwa chini jijini london.

아랍어

. نداء الاستغاثة على أحد محطات أنفاق مترو لندن في ديسمبر ٢٠١٢.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, sheria hizi pamoja na mikakati hii bado haijafanikiwa kutokomeza aina mbalimbali za uonevu, umasikini na hali ya kukosa malazi na chakula kunakowakabili watoto wengi.

아랍어

ولكن هذه القوانين والبرامج لم تنجح في القضاء على أشكال مختلفة من سوء المعاملة والفقر والحرمان التي يعاني منها العديد من الأطفال.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

nafadhaika, nimewahi kufanya kazi kwenye sehemu niliyodhani ina weledi lakini weledi wake unategemeana na hali ya kisiasa.

아랍어

. للأسف كنت أعمل في مكان أعتقد أن له مصداقية ولكن مصداقيته مبنية على موقف سياسي حقير.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

pamoja na ufinyu wa vitendea kazi vya utoaji habari, habari zinazotoka syria zinaonesha hali ya kutisha inayowakabili wananchi wa tabaka la chini kabisa na huku wakishuhudia nchi yao inavyoraruliwa na kuachwa vipande vipande.

아랍어

بالرغم من مصادر الإعلام المحدودة، فإن ما يصل من سوريا للخارج يعرض الحقيقة المرعبة التي يواجهها السوريون على الأرض في الوقت الذي يتم فيه حرفياً تمزيق بلدهم.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwenye mji kama chennai, ambako hali ya hewa ni ya joto kwa karibu miezi 10 ya mwaka, huwaona wanaume wanakojoakando ya barabara kila wakati.

아랍어

"وفي مدينة مثل تشيناي، حيث المناخ حار ما يقرب من 10 أشهر في السنة، أشاهد الرجال يتبولون على قارعة الطريق طوال الوقت.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kujitokeza kwa jeshi la chadi uunganisha nguvu na majeshi ya camerron na naijeria kuonekana kuwa na maamuzi sasa, imeleta hali ya tahayaruki kwa kikundi hicho cha kigaidi cha boko haram.

아랍어

يمكن لدعم الجيش التشادي للجيشين الكاميروني والنيجيري أن يكون حاسمًا، نظرًا للتحركات المذعورة على حركة بوكو حرام.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

anasema nyimbo hizo tulivu zinawasaidia wazazi "kukabiliana na hali ya kusumbuka na watoto, au wanapojikuta hawawezi kuwafanya walale, au hata katika nyakati ambazo wao wenyewe wamechoka."

아랍어

تقول، إن التهويدات تساعد الآباء والأمهات على التعامل مع الإجهاد الناتج عن فشلهم في حث صغارهم على النوم.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

baadhi ya wafungwa wa kisiasa waliweza kuning'iniza mabango nje ya vyumba vyao vya magereza. walimwomba papa kutazama hali ya haki za binadamu yanayozidi kuwa mbaya nchini humo.

아랍어

تمكن أحد السجناء السياسيين من تعليق لافتة خارج زنزانته، يلفت انتباه البابا للوضع المتردي لحال حقوق الإنسان في البلد.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

siku ya julai 8, wafanyakazi 22 wa kituo hicho walijiuzulu kwa kile walichodai kuwa "matangazo yalikuwa hayaonyeshi matukio halisi ya hali ya mambo nchini misri."

아랍어

يوم ٨ يوليو/ تموز، قدم ٢٢ موظفاً استقالة جماعية حيث زعموا أن "التغطية غير المتزامنة مع الأحداث الحقيقية في مصر".

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

basi, ndugu, nasema hivi: kile kilichofanywa kwa mwili na damu hakiwezi kuushiriki ufalme wa mungu; na chenye kuharibika hakiwezi kuwa na hali ya kutoharibika.

아랍어

فاقول هذا ايها الاخوة ان لحما ودما لا يقدران ان يرثا ملكوت الله. ولا يرث الفساد عدم الفساد

마지막 업데이트: 2012-05-05
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maandalizi kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia mwaka 2022 huko qatar tayari yameingia dosari kufuatia taarifa za kufa kwa wafanyakazi wa ujenzi 400 wa nepal na 700 wa kihindi katika hali ya hewa inayokaribia nyuzi 122 za fahrenheit (nyuzi 50 celsius).

아랍어

وبالفعل شابت الاستعدادات لكأس العالم في قطر 2022 تقارير تتحدث عن موت ما يقرب من 400 نيبالي و 700 هندي من عمال البناء في ظروف قد تقارب 50 درجة مئوية.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwingine katika mashariki ya kati, hali ya msuguano inaendelea kukua kufuatia kuwekwa wazi kuwa nchi za kiarabu zimejadili mashambulizi ya pamoja na marekani dhidi ya irani, wakati ambapo kuna wasiwasi unaoongezeka kuhusu nia ya irani ya kuwa na nguvu za nyuklia; wanasiasa wa kiarabu na kiisraeli wanalala kitanda kimoja; kadhalika simulizi mbalimbali za misuguano kati ya majirani ndugu, ambao wanaunda ulimwengu wa nchi za kiarabu.

아랍어

وفي أماكن أخرى في الشرق الأوسط، تتصاعد التوترات بعد الكشف عن أن الدول العربية ناقشت الغارات على إيران مع الولايات المتحدة، وسط تصاعد المخاوف من طموحات إيران النووية؛ وعن أن كيف أصبح الساسة العرب والإسرائيليين ينامون في سرير واحد، وبعض الحكايات أخرى عن الاحتكاكات بين الأشقاء الذين يشكلون العالم العربي.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,770,478,950 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인