검색어: ajiuzulu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ajiuzulu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ni lazima ajiuzulu au alazimishwe kufanya hivyo.

영어

he must resign or be made to.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tamko lililopo kwenye mtandao wa change.org linamtaka ajiuzulu:

영어

a petition on change.org calls for his resignation:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wale waliomtaka ajiuzulu wanatumia alama habari #kibuulemustgo na #kibuuleout .

영어

those calling for his resignation are using the hashtags #kibuulemustgo and #kibuuleout.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maandamano makubwa ya kumtaka rais wa misri mohamed morsi ajiuzulu yanaendelea nchini misri kwa siku ya tatu sasa.

영어

massive protests calling on egyptian president mohamed morsi to step down continue across egypt for the third day.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

utawala wa mwaka mmoja wa morsi ulifupishwa, baada ya maandamano makubwa misri kote kumtaka ajiuzulu kuanzia juni 30.

영어

morsi's one-year reign was cut short, after massive protests across egypt calling for him to resign started on june 30.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

anwani feki ya twita ya rossneft rais wa gor sechin ilionyesha kuwa papa huenda alikuwa na mambo mengine ya ndani yaliyomfanya ajiuzulu:

영어

the fake twitter account of rossneft president igor sechin implied that the pope may have had ulterior motives in resigning:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa hiyo tuna maoni yenye msisitizo kwamba ni lazima ajiuzulu kwa heshima au rais lazima atambue ni muhimu kumng’oa kutoka kwenye ofisi yake.

영어

we therefore hold the strong view that he must honorably resign or the president must find it necessary to remove him from office.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini mwanablogu pearson nkhoma alihoji kuwa kumtaka banda ajiuzulu au kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye hakutatatua tatizo kwa kuwa bunge bado litakuwa na idadi kubwa ya wabunge waliokuwa wakimuunga mkono rais mutharika na ambaye ndiye aliyeipelekea malawi kuwa na hali mbaya ya uchumi inayoshuhudiwa hivi sasa:

영어

but blogger pearson nkhoma argued that demanding banda's resignation or impeachment wouldn't solve the problem because parliament would remain populated with members who supported former president mutharika, who brought malawi into its current economic mess:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

rais wa malawi ametupilia mbali mashinikizo ya kumtaka ajiuzulu mara baada ya mamia ya maelfu ya wafanyakazi wa umma wanaoshinikiza mishahara yao iongezwe, kuingia katika mgomo wa majuma mawili, kufunga uwanja wa ndege wa kimataifa nchini humo pamoja na kuzorotesha huduma za hospitalini na mashuleni.

영어

malawi's president is beating back calls for her to resign after hundreds of thousands of civil servants demanding a wage increase went on a two-week long strike, shuttering the country's international airport and paralyzing hospitals and schools.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mapigano hayo, yaliyotarajiwa na yanayoogopwa na wengi yametokea siku mbili baada ya morsi, mgombea wa chama cha muslim brotherhood aliyeshinda urais mwaka mmoja ulippita, kung'olewa madarakani na jeshi kufuatia maandamano makubwa yakimtaka ajiuzulu kumaliza utawala wa chama cha muslim brotherhood nchini misri.

영어

the clashes, expected and feared by many, happen two days after morsi, the muslim brotherhood candidate who became president a year ago, was ousted by the military following massive protests calling for his resignation and an end of the brotherhood's rule of egypt.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,761,288,333 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인