전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
richard chirombo aliye katika jiji la kibiashara la malawi, blantyre aliandika:
richard chirombo in malawi's commercial capital blantyre wrote:
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
tuna uhaba wa maji jijini blantyre, upungufu wa umeme na mafuta nchi nzima na ukosefu wa jumla wa fedha za nje.
we have water shortages in blantyre, power and fuel shortages country wide and a general lack of foreign exchange.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
baadhi ya wamiliki wadogo wa mali hizo huko blantyre wanadai kama kwacha 500 kwa mabango waliyowekwa katika maeneo yao ya biashara ama kazi, imegundulika.
some small scale property owners in blantyre are demanding, at least, k500 for political posters placed in their area of business or enterprise, it has been learnt.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
nakumbuka kuwa mapema katika kipindi cha kampeni za uchaguzi wa 2009, wanasiasa walishindana kwa kugawa pesa kwa ‘walioathirika’ katika ajali ya moto kwenye soko la nyirande kule blantyre.
i remember that earlier in the campaign period for 2009 elections, politicians competed against each other by out-giving money to ndirande market fire “victims” in blantyre.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
mara nyingi, watakuambia, ‘samahani, njoo mwezi ujao, tupe muda wa kulitafuta faili lako’ hebu fikiria mtu anakuja kutoka nsanje kuja kwa mwanasheria mkuu mjini blantyre; anakuja tena kama alivyoahidiwa na anaambiwa asubiri tena kwa wiki moja nyingine, inaghafirisha, au sivyo?
most of the times, they will tell you that ‘sorry come next month, give us time to look for it’. now imagine a person is coming from nsanje to the ag’s office in blantyre; he comes again as per the arrangement and is told that he should wait for another week, very frustrating isn’t it?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: