검색어: dhibiti ujumbe wako wa huduma za ujumbe wa wingu (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

dhibiti ujumbe wako wa huduma za ujumbe wa wingu

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

utoaji wa huduma za afya

영어

health service delivery

마지막 업데이트: 2022-11-21
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

utoaji wa huduma za ushauri

영어

i would like to register my apologies for some inconvenience that happened today

마지막 업데이트: 2023-12-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

waziri wa huduma za magereza ngconde balfour;

영어

minister of correctional services ngconde balfour;

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ndio kwanza nimeamka na kuuona ujumbe wako wa simu ya mkononi.

영어

i have just got up and saw your sms.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa kuzima mtandao wa intaneti na huduma za ujumbe mfupi wa maandishi na kufunga tovuti, serikali ya kongo inawanyima raia haki zao za msingi za kuwasiliana na kupokea na kusambaza taarifa

영어

by shutting down internet and messaging services and blocking websites, congolese authorities are denying citizens their fundamental right to communicate and to receive and impart information

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuwa nchi zote zilizoendelea zinatofautiana sana kwa mifumo yao ya utawala (na uwasilishaji wa huduma za jamii)

영어

that all developed countries differ greatly in their systems of governance (and the presentation of social services)

마지막 업데이트: 2013-12-17
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

wakati hali ya utoaji wa huduma za afya inazidi kuzorota, hadi sasa hakuna hatua zozote zilizokwisha kuchukuliwa ili kukabiliana na tatizo hili.

영어

the health record is appalling, yet there is no shortage of initiatives to change the situation.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

gazeti la south china morning post lilitaarifu kuwa, maandamano yaliratibiwa kupitia mitandao ya kijamii ya nchini china ya huduma za ujumbe ambayo ni: qq na wechat.

영어

south china morning post has reported that the protest had been organized via china’s social messaging services: qq and wechat.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuanguka kwa mfumo wa huduma za simu, na katika kesi nyingine majengo yalikuwa na ofisi za benki au huduma za kutuma pesa, kulikata njia ya pesa.

영어

the collapse of telephone service and, in some cases the buildings that housed banks and remittance offices, had temporarily cut off that money.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

awamu zijazo za mradi huu zitajumuisha usambazwaji wa vifaa vya kupimia vvu majumbani, pia uendelezwaji wa "huduma za vituo vya simu mtandaoni," na utumiaji wa ujumbe wa maandishi wa simu za mkononi ili kutoa huduma binafsi za taarifa za afya kwa wale wanaotibiwa ukimwi.

영어

future phases of the project involve distributing at-home hiv testing kits, developing “virtual call centers,” and using text messages to provide personalized healthcare information for those being treated for aids.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

vyanzo vya vifo hivi ni vingi, ikiwa ni pamoja na kukosa wataalamu wa kutosha wa kuwasaidia wanawake wakati wa kujifungua, matunzo hafifu katika kipindi cha kabla ya kujifungua na ukosefu wa huduma za dharura.

영어

the maternal mortality rate is estimated at approximately 498 per 100,000 live births, and the causes of death are many, including limited access to skilled staff during delivery, poor prenatal care, and lack of emergency care.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

katika mijadala ya mtandaoni maswali yalijikita zaidi kwenye huduma za kitaifa za simu za mikononi, gharama na na upatikanaji wa huduma ya intaneti, wakizungumzia hali ya kutokuwapo kwa uwezekano wa kupata huduma ya intaneti watu wakiwa majumbani mwao.

영어

in the forum, netizens' questions focused on national mobile telephonic services, cost and access to the internet, highlighting the impossibility of connecting to the internet from cuban homes.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

serikali ya rwanda inatambua umuhimu wa usafi wa mazingira katika huduma za kuzuia maradhi kwa kuwa inaboresha maisha ya raia wake. sera ya taifa ya usafi wa mazingira ina lengo la kuongeza upatikanaji wa huduma salama na endelevu za usafi wa mazingira nchini. hii itafikiwa kwa njia ya pamoja ambapo wadau mbalimbali watashirikishwa katika kuboresha usafi wa mazingira kwa watu wa kada zote:

영어

the government of rwanda recognizes the importance of sanitation in preventive health care because it improves the quality of life for its citizens. the national sanitation policy aims to increase access to safe and sustainable sanitation services in the country. this will be achieved through an integrated manner whereby various stakeholders will be involved in improving the sanitation of the population at all levels:

마지막 업데이트: 2018-02-16
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hata hivyo, kumbuka kwamba covid-19 ni ugonjwa mpya, ufahamu na ujuzi wetu unaongezeka kulingana na matokeo ya utafiti unaoendelea na uzoefu wa huduma za kimatibabu, hivyo, mikakati ya uchunguzi na matibabu pia inaendelea kusasishwa.

영어

note however that covid-19 is a new disease, our awareness and knowledge is gradually increasing based on the ongoing research findings and clinical practice experience; hence, the strategies of diagnosis and treatment are also continually updated.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

baada ya suala la duo-cotexcin kenya, holley-cotec kampuni ambayo inatengeneza dawa hizi, walizindua teknolojia ambayo haiwezi kuchezewa.james nyikal, mkurugenzi wa huduma za afya, kenya anaeleza :

영어

after the duo-cotecxin incident in kenya, holley-cotec, the company that manufactures the antimalarial, introduced a new technology to make the tablets tamper-proof. james nyikal, director of medical services in kenya explains :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuboresha miradi ya lishe kwa kuangalia zaidi makundi yanayoathirika zaidi na namna bora ya upatikanaji wa lishe ya kutosha; kuboresha ufanisi wa matumizi ya bajeti ya afya; kuboresha usimamizi wa rasilimali watu katika utoaji wa huduma za afya; uwepo wa vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za dharura za afya; kuwarudisha madaktari katika vituo vya afya vya vijijini.

영어

strengthen nutrition programs targeting the most vulnerable groups, and their access to adequate nutrition; enhance efficiency of budgetary expenses; improve management of healthcare human resources; introduce risk-free delivery kits; bring doctors back to health centers in rural areas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

chuo cha royal college of general practitioners (rcgp) research and surveillance centre (rsc) ni mtandao wa huduma za kawaida (gps) yenye idadi ya watu kutoka sehemu zote za nchi wanaotoa data isiyotambulishwa kwa ajili ya uchunguzi wa kila wa magonjwa ya kuambukizana.

영어

the royal college of general practitioners (rcgp) research and surveillance centre (rsc) is a network of general practices (gps) with a nationally representative population that provides pseudonymized data for weekly surveillance of infectious diseases.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,734,020,165 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인