검색어: huru sasa wa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

huru sasa wa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

msimamo wa sasa wa serikali

영어

the current government's stance

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

orodha hiyo haina jina la rais wa sasa wa mpito.

영어

it does not include the current president of the transition.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwame aboagye alisema ni wakati sasa wa-afrika watumie lugha zao wenyewe:

영어

kwame aboagye said it is time africans used their languages:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tshitenge lubabu nchini burundi anatoa maoni kwamba mzizi hasa wa mgogoro ni viongozi wa sasa wa kisiasa:

영어

tshitenge lubabu in burundi opines that the roots of the crisis are the current political leaders:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mfalme wa sasa wa baganda amekuwa katika habari hivi karibuni kutokana na mapambano yake na rais wa uganda, yoweri museveni.

영어

the current king of the baganda people has been in the news recently for his clashes with ugandan president yoweri museveni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hivyo, mkurupuko wa sasa wa covid-19 ni mbaya zaidi na ni mgumu kudhibiti kuliko mkurupuko wa sars.

영어

thus, the current outbreak of covid-19 is much more severe and difficult to control than the outbreak of sars.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@sandmonkey: watu sawa ambao waliowaua na kuwatesa wa-misri wako huru sasa kurudia wadhifa wao katika moi.

영어

@sandmonkey: the same people who have killed and tortured egyptians are now free to go back to their jobs at the moi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

global voices ilishinda tuzo hiyo mwaka 2005, lakini wengi wa waandishi wa zamani na sasa wa global voices wanashiriki katika shindano hili mwaka huu kupitia shughuli zao nje ya global voices.

영어

global voices itself won a bobs award in 2005, but many of the current and former contributors to this website are featured in this year's bobs for their activities outside global voices.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

maoni haya yanatokana na moja ya mapendekezo ya marekebisho ya katiba yanayotazamwa na kamati ya kuipitia katiba ya ghana: kuongeza muhula wa sasa wa urais kutoka miaka minne kwenda miaka mitano.

영어

this comment is a response to one of various constitutional amendment proposals under consideration by ghana’s constitutional review committee: extending the president’s current four-year term to five.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika maadhimisho ya mapinduzi ya serikali yaliyofanyika machi 17, 2009 nchini madagaska, vikwazo vinavyowalenga viongozi wa sasa wa madagaska vinaandaliwa kwa kushindwa kwao kuheshima makubaliano ya maputo ambayo hapo awali yalifikiwa na pande zote zinazohusika.

영어

on the anniversary of the coup d'etat of march 17, 2009 in madagascar, individual sanctions are about to be imposed upon the current leaders of madagascar for not respecting the resolutions of maputo that were previously agreed upon by all participants.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

isitoshe, huduma zinazoshiriki katika uchunguzi wa sasa wa viarolojia sasa zinachukua sampuli kwa ajili ya uchunguzi wa covid-19 kutoka kwa wagonjwa wenye hatari ya chini wanaoonyesha maambukizi ya njia ya chini ya pumu.

영어

additionally, practices participating in current virology surveillance are now taking samples for covid-19 surveillance from low-risk patients presenting with lrtis.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

wakati wagombea wa awali walikuwa wapya kabisa wasiofahamika sana, wanasiasa wachache machachari wanaofahamika wanatarajiwa kugombea akiwemo rais wa zamani didier ratsiraka, rais wa sasa wa mpito andry rajoelina na mke wa rais wa zamani ravalomanana, anayeitwa lalao ravalomanana.

영어

while the earlier candidates were relatively new to the general public, a few prominent political players from the past are expected to contest: former president didier ratsiraka, current president of the transition andry rajoelina and the spouse of former president ravalomanana, lalao ravalomanana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi ya majina yaliyoorodheshwa katika makisio ya watu ni pamoja na mkewe janet kataha museveni, mwanae wa kiumemuhoozi kainerugaba, amama mbabazi, waziri mkuu na rafikiye wa karibu, na rebecca kadaga, spika wa sasa wa bunge.

영어

some of the names listed in the speculation included his wife janet kataha museveni, his son muhoozi kainerugaba, amama mbabazi, the current prime minister and museveni's close friend, and rebecca kadaga, the current speaker of parliament.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

(2) kuendelezwa kwa uchunguzi wa sasa wa kivirolojia na kupima watu walio na ugonjwa unaofanana na homa ya mafua au maambukizi ya njia ya chini ya pumu (lrti)—kwa tahadhari kwamba watu wanashukiwa kuwa au ambao wamekuwa hatarini kupata covid-19 wanapaswa kupaswa kupelekwa katika vituo vya kidhibiti vya kitaifa badala ya kupewa tiba ya kimsingi.

영어

(2) extension of current virological surveillance and testing people with influenza-like illness or lower respiratory tract infections (lrti)—with the caveat that people suspected to have or who have been exposed to covid-19 should be referred to the national containment pathway and not seen in primary care.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,761,803,916 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인