검색어: kukwepa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kukwepa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ili kukwepa hali hii hawana budi kutafuta njia mpya za kujifufua pamoja na kazi zao.

영어

to avoid this they must find new mediums to draw attention to themselves and their work.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini wapo watawala wengine ambao jitihada zao za kukwepa kuondoka madarakani zilifanikiwa.

영어

but other leaders have been more successful in their efforts to avoid relinquishing power.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

waandamanaji wakikimbia kukwepa moshi wa mabomu ya machozi (imewekwa na @janarlyspeaking)

영어

protesters running away from tear gas bombs (posted by @janarlyspeaking)

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

baadhi yao waliamua kuruka fensi iliyokuwa imezunguka nyumba hiyo kukwepa mistari mirefu ilikuwa ikisubiri kuingia nyumbani humo.

영어

some even scaled the fence around the house to avoid the long lines.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, protini ya n ya sars-cov inaweza kusaidia virusi kukwepa makali ya kinga ya mwili.

영어

however, the n protein of sars-cov can help the virus escape from the immune responses.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

vyama vyetu vya upinzani haviwezi kukwepa lawama kwa kuwa na vikundi vya wahuni, lakini mabomu ya petroli hayawezi kutoka kwingine kokote isipokuwa kwneye vyombo vya usalama vya dola.

영어

our opposition parties have their fair share of hooligans, but petrol bombs are the domain of the state security agencies. — lance guma (@lanceguma) february 25, 2014

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ninalitaka jeshi la mirsi kuchukua hatua za haraka na za kiwajibikaji kurudisha mamlaka kamili kwa serikali ya kiraia iliyochaguliwa kwa njia za kidemokrasia mara moja kwa njia za wazi na za pamoja, na kukwepa kumkamata rais morsi na wafuasi wake.

영어

i now call on the egyptian military to move quickly and responsibly to return full authority back to a democratically elected civilian government as soon as possible through an inclusive and transparent process, and to avoid any arbitrary arrests of president morsy and his supporters.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bbc iliweka ukurasa huu wa facebook kama jitihada zake za kukwepa mashambulizi kuhusu masuala ya utawala wa sheria na dhana ya uhuru kufuatia mapinduzi ya mwezi mei, ikiwa ni pamoja na kuzuiliwa kwa mikusanyiko ya kisiasa na kukamatwa kwa mamia ya wanasiasa na wanaharakati wanaopinga mapinduzi ya kijeshi.

영어

the bbc set up this facebook page in an effort to avoid the systematic attack on the rule of law and liberties which followed may’s coup, including the banning of political gatherings and arresting and detaining hundreds of politicians and anti-coup activists.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kila mwaka oktoba 24, " siku ya meena" inaadhimishwa nchini bangladesh kuhamasisha jamii kuwaandikisha watoto mashuleni kwa asilimia 100, kukwepa wanafunzi kuacha masomo na kuhakikisha ilimu bora mashuleni.

영어

every year on 24th october "meena day" is observed in bangladesh to promote social awareness on 100% enrollment of kids in school, avoid dropouts and ensure proper education.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

magazeti matatu ya kila wiki ya mwanahalisi, raia mwema na tanzania daima, tayari yamekwishapokea barua hizo za onyo kwamba hayana budi kukwepa kuandika habari zozote ambazo serikali itaziona kuwa ni za "uchozezi" vinginevyo yanaweza kusimamishwa.

영어

three private weeklies, mwanahalisi, raia mwena, and tanzania daima have all been warned by the registrar to avoid coverage deemed "inciteful" by the government or face suspension.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,743,786,778 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인