검색어: kushawishika (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kushawishika

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ingawa watu wanahitaji sana kuongea nami, ni nadra sana kushawishika kuchukua vipimo vya vvu kwa sababu wanaogopa.”

영어

although people are keen to talk to me, they are rarely convinced to take an hiv test because they are scared.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

na mwisho, huku kukiwa na lengo la kurahisisha kutafsiri hata kwa wafasiri wasio na uzoefu, timu ya profesa kageura iliunda minna no honyaku, kwa kushawishika kuwa:

영어

lastly, with the aim to make translation an easy process also to inexperienced translators, professor kageura's team created minna no honyaku, convinced that:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa hakika, mambo haya hayapaswi kuwa na maana yoyote, ni maneno matupu kwa chama cha pap ambacho kinawaacha wakiwa hawana chochote cha kupinga itakuwa ni njia muafaka sana kwa wengine ambao bado wanaweza kushawishika kukiunga mkono chama cha pap.

영어

in fact, these do not even need to say anything—a mere talk with the pap that leaves them with nothing to criticize will be effective enough for others who can still be convinced to support the pap.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika indonesia, hata vitendo vya amani kama vile kupandisha bendera vinaweza kukupeleka jela kwa muda mrefu. clinton anaweza kushawishika kupamba masuala kama uhuru wa kidini, usawa katika sheria na mageuzi ya kijeshi ili kuboresha uhusiano wa marekani na indonesia.

영어

but in indonesia, even peaceful acts like a flag raising can land you in jail for a long time "clinton may be tempted to gloss over issues like religious freedom, impunity, and military reform, in favor of closer indonesian-us ties.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

doctor baba otimbi haikuwa jambo sahihi kumpatia mwanao simu kwa sababu kijana wako bado ni mwanafunzi kwanza lakini  pia bado hata kufikiri kwake kupo chini mara nyingi unampo mpatia simu wakati bado ni mwanafunzi na bado hajakuwa vizuri kifikra kimaamuzi  mara nyingini rahisi kuingia katika mambo yasiyo sawasawa ambayo yanaweza moja kwa moja yakaathiri masomo yake moja kwa moja lakin pia hata namna yake ya kawaida ya ukuaji mara nyingi vijana kama hawa ni rahisi kushawishika kujiingiza kat

영어

doctor father ran away was not a good idea to give your son a phone because your boy is still a student at first but also his thinking is down. directly affecting his studies direct but also his usual form of growth often young people like these are easy to convince.

마지막 업데이트: 2020-02-07
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,739,972,668 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인