검색어: kutilia (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

kutilia

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

hata hivyo, wanaoendeleza vitendo hivi vya kigaidi hawaonekani kutilia maanani miitikio kama hii:

영어

however, the perpetrators of these acts of terror seem not to be paying much attention to these reactions:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwanablogu ghana pundit aliweka makala nyingine ambayo iligusia eneo jingine la kutilia maanani:

영어

ghana pundit posted another article that touched upon a new area of concern:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

"katika kutilia mkazo ukuu wa taifa letu, tunaelewa kwamba ukuu si haki yetu ya kupewa hivi hivi tu.

영어

“in reaffirming the greatness of our nation, we understand that greatness is never a given.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

razib ahmed kwenye south asia blog, blogu yenye kutilia makini biashara na masuala ya jamii katika kanda hiyo, anasema:

영어

razib ahmed at south asia blog, which focuses on the region's business and social issues, says:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tuzo ya kuvunja mipaka pia inaboresha kazi za idara ya utetezi ya global voices, ambayo iliundwa mwezi februari 2007 ili kutilia mkazo kazi za asasi zinazohusiana na uhuru wa kujieleza.

영어

the breaking borders award also complements the work of global voices advocacy, which was formed in february 2007 to bring focus to the organization's freedom of expression-related activities.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kuwa dini ya kibuda ni dini ya dola kwa mujibuwa katiba ya nchi ya kambodia, hasa kwa kuzingatia kwamba karibu raia wote wa kambodia ni wabuda, matukio yaliyoripotiwa hivi karibuni kuhusu kuporomoka kwa maadili nchini humo miongoni mwa watawa ni jambo la kutilia maanani.

영어

since buddhism is a state religion guaranteed by the constitution and the fact that nearly all cambodians are buddhists, the recent reported decline of monk morality in the country is a cause of concern.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

@usembislamabad (ubalozi wa marekani islamabad): tunaheshimu utamaduni wa waislamu wa kutoa misaada kwa wahitaji, lakini hatuwezi kutilia mkazo msaada wa hafiz saeed.

영어

@usembislamabad (us embassy islamabad): we respect the islamic tradition of help to the needy, but we can’t take hafiz saeed’s offer seriously.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

haidhuru unafikiriaje juu ya kujifunika kwa kiislamu jambo moja ni la hakika – kuwatia hatiani wanawake wanaovaa burqa au niqab kutawafanya wanawake hao wazidi kutoonekana. … kuchagua chagua masuala ya kutilia maanani katika haki za wanawake ni njia tu ya watu kuweka bayana ubaguzi wa kitaifa na silica hiyo inaweza kuonekana katika kila ngazi ya jamii – katika umma wa kawaida, katika vyombo vya habari, katika serikali.

영어

no matter what you think of islamic veiling one thing is for sure – criminalising the women who wear the burqa or niqab is only going to render them more invisible. …this selective concern for women’s rights is merely a way for people to articulate their racist nationalism and it’s an attitude that can be found through all levels of society – in the general populace, in the media, in the government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,748,004,158 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인