전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
majira ya mwaka
seasons of the year
마지막 업데이트: 2017-01-18
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
baada ya kumtuma kwako artema au tukiko, fanya bidii kuja nikopoli unione, maana nimeamua kukaa huko wakati wa majira ya baridi.
when i shall send artemas unto thee, or tychicus, be diligent to come unto me to nicopolis: for i have determined there to winter.
mnamo majira ya mchana siku ya alhamisi vyanzo visivyo rasmi vilidai kuwa kiongozi wa farc henry castellanos, romaña, naye pia aliuwawa katika operesheni hiyo.
on thursday afternoon unofficial sources claimed that farc leader henry castellanos, romaña, had also been killed in the operation
mara moja, tuliuuliza ubalozi wa mynmar huko malasia kuhusiana na tukio hilo mapema majira ya saa 11 jioni na tuliwauliza tena saa saa 2 usiku kupitia wizara ya mambo ya ndani.
(we) immediately asked the myanmar embassy in malaysia about this issue at 5 pm and again at 8 pm via the ministry of foreign affairs.
majira ya saa 5 asubuhi, april 11, kampuni hii ilisitisha utoaji wa huduma katika mfumo wa mabomba wa kaskazini kwa lengo la kuyaondoa maji yaliyochanganyikana na kiasi kikubwa cha benzene.
april 11, it suspended operation of the northern ditch facilities to get rid of the benzene-polluted water.
amewahi kuandaa matukio mbalimbali likiwemo lile la barcamp transparency huko uingereza majira ya joto yaliyopita kule oxford, ambapo ana matumaini kwamba jambo hilo litafanywa katika nchi mbalimbali za ulaya msimu wa joto wa mwaka huu.
she has organized numerous events including barcamp transparency uk last summer in oxford, which she hopes will be replicated in other european countries this year.