검색어: mgahawa (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

mgahawa

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

baadhi ya watu walifia kwenye mgahawa huo baada ya kuporomokea ndani.

영어

some people died in the restaurant itself, as it caved in.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tulikutana kwenye mgahawa uliojulikana kwa jina la pizza, katikati mwa jiji la addis ababa.

영어

we met in a café called pizza, at the heart of addis ababa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tovuti ya freebashir.org imetundika bango hili la kuwaunga mkono mwanablogu na mwenye mgahawa wa intaneti

영어

a solidarity banner from the freebashir.org site

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mkutano mmoja na waandishi wa habari ulisitishwa baada ya mmiliki wa janeer, mgahawa ambamo mkutano huo ulikuwa ufanyike, kushinikizwa na polisi.

영어

one press conference was cancelled when the landlord of janeer, the bar in which it was supposed to take place, was pressurised by police.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

profesa wa fasihi ya kiingereza kutoka mji wa mdogo wa tartous huko mediterranean na mwandishi mwenye asili mchanganyiko ya siria na canada wakiwa safarini kuelekea kwenye nchi yake ya asili wanatizamana wakiwa kwenye mgahawa unaoitwa sea breeze.

영어

an english literature professor from the little mediterranean city of tartous and a syrian-canadian writer on a trip to her mother country exchange glances at a cafe called sea breeze.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

alimou sow, ni mwanablogu wa guinea, aliyeamua kula pizza akiwa na mke wake pamoja na baadhi ya marafiki zake katika mgahawa mdogo ulioko pembezoni mwa conakry, mji mkuu wa guinea.

영어

alimou sow, a guinean blogger, decided to eat some pizza with his wife and some friends at a small restaurant in the upper suburbs of conakry, guinée's capital.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mgahawa, upo upande wa juu wa kiasi cha nusu dazeni au zaidi kidogo ya mighahawa ya ki-ethiopia ndani ya kiasi cha mita 500, ipo katikati ya makutano ya barabara ya ggaba na ile ya tank hill.

영어

the restaurant, the most high end of the half dozen or so ethiopian restaurants within 500 meters, sits at the intersection of ggaba road and tank hill road.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika mgahawa waat a smoky cafe jijini cairo, akiwa anachapa katika vitufe vya simu yake, tapping on his keyboard, akitupa mawasiliano yake pamoja na tabasamu zurisharing contacts + smiling widely.

영어

at a smoky cafe in cairo, tapping on his keyboard, sharing contacts + smiling widely.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mida ya saa 7:30 napata chakula cha mchana na marafiki zangu wa kike kutoka mgahawa wa subway, halafu nikarejea kazini na kutoka saa 10:30 jioni, narejea nyumbani, napumzika, naoga natinga mavazi yangu, namsubiri dereva anipeleke mgahawa wa wachina kwani nilikuwa nimewakaribisha marafiki zangu wa kike.

영어

by 1:30 i'm having lunch from subway with the girls, then go back to work and leave at 4:30, go home, relax, take a shower, get dressed, wait for the driver to take me to the chinese place since i invited the girls out.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,740,284,410 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인