검색어: tunahitaji (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

tunahitaji

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

tunahitaji kuendelea kuishi!

영어

we need to survive!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tunahitaji kila mmoja kuishi

영어

we need each other to live a prosperous life

마지막 업데이트: 2021-12-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji kuzungumzia masuala haya.

영어

we need to talk about these things.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji kubaki na afya zetu!

영어

we want to be healthy!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji kuishi kwa amani."

영어

we want to live in peace."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

tunahitaji msaada wako kwenye hili

영어

good daughter

마지막 업데이트: 2018-03-15
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji kurudi kwenye maeneo yetu.

영어

we want to return to our land.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji kuzungumzia kuhusu rangi za watu.

영어

we need to talk about race.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji mchango wako ili tumfikie kila mmoja.

영어

we need your support to reach everyone.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunahitaji wasomi zaidi nchini tajikistan kama alex.

영어

we need more scholars on tajikistan like alex.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

bango linasomeka "mjomba na shangazi, tunahitaji hewa salama!"

영어

sign reads "uncle and aunt, we need clean air!"

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

tunahitaji mfumo ambao utawafanya wanawake waweze kuongea na mapolisi bila ya woga.

영어

we need a system where women can approach cops fearlessly.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nadhani tunahitaji marekani iivamie afrika kusini ili kurekebisha hali hii ya nchi kushindwa, ha ha.

영어

i guess we need america to invade sa and fix this #failedcountry, hey.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kiingereza hakikuwa lugha yetu ya asili na tunahitaji kuamka na kurejea misingi yetu wenyewe kwa fahari.

영어

english wasn't our original language in the first place and we need to wake-up and go back to our principals with pride.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kwa pamoja, tunahitaji kulinda haki zetu pamoja na ardhi yetu tuliyoirithi kutoka kwa mababu zetu.”

영어

we need to collectively defend our human rights and our ancestral land.”

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

peter mutharika , muwache joyce achukue madaraka ikiwa hali itakuwa ilivyo, tunahitaji mafuta sasa…

영어

peter mutharika , let joyce take over if status quo remains, we need fuel now...

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

@tonybkaranja: tunahitaji sana mpango wa kudhibiti majanga ambao hautakuwa tu kwenye makaratasi #nairobiblast

영어

@tonybkaranja: we really need a disaster management plan that's not just on paper #nairobiblast

마지막 업데이트: 2024-03-20
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama tunahitaji kweli kujali vyeti vya uchunguzi wa afya, basi maswali yanayofuata yanayohitaji majibu: tutaishia wapi?

영어

if indeed we should be caring about medical reports, then the next questions to deal with would be: where are we going to draw the line?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tunaamini kuwa ili kuwa na jamii za kiraia endelevu ndani ya irani tunahitaji kuwa na vyombo vya habari vya kidemokrasia vilivyo ndani ya na kwa ajili ya irani.

영어

we believe that for a sustainable civil society in iran we need sustainable democratic media in and for iran.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kile ambacho wazambia wanakisema ni kwamba tazama, tunahitaji katiba bora ambayo tutashiriki katika kuitengeneza kitendo chake kutoa matamshi ya aina ile yanaonyesha kiburi cha hali ya juu sana.

영어

what zambians are saying is that look, we want a better constitution in which we participate in its formulation for him to make such comments shows arrogance of the highest level.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,781,272,684 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인