검색어: ukilinganisha (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

ukilinganisha

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

hii ni kutokana na ufanisi usioridhisha katika majukumu niyafanyayo ukilinganisha na jitihada ninazowekeza

영어

problems and challenges of this beer.

마지막 업데이트: 2022-10-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kutokuwepo kwa mwitikio wa kimataifa kwenye shambulio la garissa ukilinganisha na lile la charlie inaonesha jinsi dunia isivyojali wengine

영어

lack of international reaction to the #garrisaattack compared to #jesuischarlie shows how little the world cares about #africanlivesmatter — shekhar kapur (@shekharkapur) april 5, 2015

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

lakini ukweli ni kwamba obama na ulaya watafurahi kuikabili uganda kwa sababu ni shabaha rahisi ukilinganisha na, tuseme, china.

영어

but the truth is that obama and europe are happy to take uganda on because it is an easy target compared to, say, china.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

humo, anasema kila kitu kinachomhusu yeye kama msanii kwa kutumia mtazamo binafsi ukilinganisha na habari na taarifa za vyombo vya habari zinazohaririwa ambapo mtu anaweza kuzipata kwenye sehemu ya burudani wkenye magazeti na majarida.

영어

in it, she shares everything about herself as an artist from a personal perspective as opposed to the edited media stories and information that one will find in the entertainment section of a newspaper or magazine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

habari njema ni kwamba, kwa mujibu wa kamati ya ushauri wa haki za binadamu, kiwango cha matumizi ya nguvu katika kipindi cha kampeni yamepungua ukilinganisha na yale ya uchaguzi wa mwaka 2004:

영어

the good news is that, according to the human rights consultative committee, the levels of violence during the 2009 campaign period have decreased compared to the 2004 elections:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ukilinganisha na muongo uliopita, kabla ya facebook, twita na mitandao mingine ya kijamii haijatwaa nafasi, hivi sasa hakuna blogu nyingi za ki-japan kama ilivyokuwa.

영어

compared to a decade ago, before facebook, twitter and other social media took over, there aren't as many japan blogs are there used to be.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kamati ya ushauri wa haki za binadamu (hrcc) imesema viwango vya matumizi ya nguvu katika kampeni cha kampeni za kuelekea maandalizi ya uchaguzi mkuu wa tarehe 19 mei yamepungua ukilinganisha yale yaliyoshuhudiwa mwaka 2004.

영어

human rights consultative committee (hrcc) has said levels of violence during the 2009 campaign period in preparation for the 19 may general elections have decreased compared to what was experienced in 2004.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kama ilivyo kwa mti wa ténéré (ambao kwa muda mrefu umekuwa mti uliojitenga kuliko mwingine wowote ule duniani, ambao kipindi fulani uliharibiwa na dereva ambaye hakuwa makini), niger ya magharibi kwa kiasi fulani imetengwa ukilinganisha na sehemu nyingine yoyote ya nchi hii.

영어

just like the tree of ténéré (which was for a long time the most isolated tree in the world, until it was destroyed by a negligent driver), east niger is partially isolated from the rest of the country.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,763,366,645 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인