검색어: ukimya (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ukimya

영어

silent

마지막 업데이트: 2012-01-11
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ukimya ni mkubwa

영어

silence is the loudest sound

마지막 업데이트: 2023-08-16
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hali ni ya ukimya, japokuwa kuna hisia zinazotofautiana katika umma.

영어

the atmosphere is quiet, although there are different feelings among the population.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwendeshaji aliingia kwenye majadiliano hayo na kuelezea kuhusu ukimya wake:

영어

the administrator joined the discussion explaining his silence:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tulisambaza vipeperushi, na palipokuwa na ukimya kidogo tukaamua kuwanza kuimba.

영어

we distributed the leaflets, and when there was a bit of silence we began to sing it.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tunawalaumu wakimya kwa ukimya wao lakini tunawadai wale wenye sauti kwenye kipaza sauti.

영어

we blame the silent for their silence but we owe those who have a voice a microphone.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini swali kubwa la kujiuliza ni kuwa; je, video hii hatimaye itawahamasisha watu wa uganda kuvunja ukimya?

영어

but the big question still stands, will this video encourage ugandans to finally break the silence?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwenye eneo husika mjini conakry, hali inaonekana kuwa ya ukimya, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali pamoja simu zilizopigwa kwa magazeti na serikali na mwandishi huyu.

영어

on the spot in conakry, the situation seems to be quiet, according to several sources as well as phone calls made by this author to newspapers and the government.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

katika toleo hili la gv face, tunavunja ukimya kuhusu jimbo la balochistani kwa kuzungumza na wanaharakati na wanandishi wa kipakistani na kibalochi wanaothubutu kuzungumza na kuripoti kuhusu uvunjifu wa haki la binadamu kwenye jimbo hilo.

영어

in this episode of gv face, we break the silence on balochistan by talking to pakistani and baloch activists and journalists who dare to speak out and report on human rights abuses in the province.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

hata hivyo, ukuzaji wa mgogoro wa venezuela unaofanywa na vyombo vya habari vya kimataifa na ukimya wake kwa mgogoro wa haiti, unaibua maswali muhimu kuhusu kuyumba kwa marekani katika kuimaisha tunu ya haki za binadamu na demokrasia.

영어

however, the international media’s escalation of the venezuelan crisis and their complete silence when it comes to haiti, raises some important questions about the united states’ inconsistency in upholding the values of human rights and democracy.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

indi.ca kutoka sri lanka anakisifu kipindi: pamoja na matatizo mengi ya kijamii, aibu yote hubebwa na muadhiriwa ambaye hunyanyasika na ukimya .kuuvunja ukimya huo kunaweza kuleta mabadiliko, na ni vyema kwamba khan anatumia umaarufu wake vyema.

영어

indi.ca from sri lanka praises the show: with many social problems, the shame is on the victim and they are brought into the conspiracy through silence. but breaking that silence can have a knock-on effect, and it’s great that this khan is using his celebrity for such a worth cause.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,770,638,997 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인