검색어: unicef (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

unicef

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

unicef nayo ilifanya hivyo.

영어

so did unicef.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa mujibu wa taarifa ya zamani ya unicef:

영어

according to an old report of unicef:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

chanzo: unicef españa katika ukurasa wa twitter.

영어

source: unicef españa on twitter.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

changia, kiasi chochote, katika ukurasa mkuu wa unicef.

영어

donate, any amount, on the main page of unicef.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

akaunti ya twita ya unicef bangladesh (@unicefbd) ilikumbusha kuwa:

영어

the unicef bangladesh twitter account (@unicefbd) reminded that:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

bijaya rajbhandari, mwakilishi wa unicef nchini thailand, ametoa wito huu:

영어

bijaya rajbhandari, the unicef representative in thailand, made this appeal:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

picha iliyopigwa kutoka kwenye gazeti la katuni za meena. picha kwa idhini ya unicef

영어

screenshot from the cover of a meena comic book. image courtesy unicef

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa ufadhili wa unicef, meena na kipindi chake cha televisheni amekuwa maarufu sana katika eneo hilo.

영어

promoted by unicef, meena and her tv show is very popular in the region.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

(unicef) inalaani vurugu ambayo ilisababisha maafa haya na vifo vya kipumbavu na majeraha kwa watoto.

영어

(the unicef) condemns the violence that resulted in these tragic and senseless deaths and injuries to children.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

ameteuliwa kuwa balozi wa unicef wa watoto na ameonekana kwenye vipande vya onyesho la takalami pembeni mwa desmond tutu na nelson mandela.”

영어

she has also been named a unicef ambassador for children and has appeared in takalani segments alongside desmond tutu and nelson mandela."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

mradi wa oneminutejr umetokana na jitihada za pamoja za mfuko wa utamaduni wa ulaya, mfuko wa one minutes jr na unicef, vile vile na mashirika mwenza mengineyo.

영어

the oneminutesjr project results from the joint effort of the european cultural foundation, the one minutes jr. foundation and unicef, as well as other partner organizations.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

jijini london uingereza, tambua kuwa kwenye njia ya chini kwa chini ya treni ya mji kuna matangazo ya unicef yenye lengo la kuhamasisha kuwachangia watoto wa syria, changia paundi 5.

영어

in the uk, london, notice that in your urban metro there are unicef ads to support children of syria, donate 5 pounds.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kulingana na unicef, kufanya uoshaji mikono kwa sabuni kabla ya kula na baada ya kutumia choo kuwa mazoea kunaweza kuokoa maisha zaidi kuliko chanjo yoyote au mkakati wa kimatibabu, kupunguza vifo kutokana na kuendesha kwa karibu nusu na vifo kutokana na maambukizi ya pumu kwa robo.

영어

according to unicef, turning hand washing with soap before eating and after using the toilet into an ingrained habit can save more lives than any single vaccine or medical intervention, cutting deaths from diarrhea by almost half and deaths from acute respiratory infections by one-quarter.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

siku ya kuosha mikono ya dunia ni mfano mwingine wa kampeni ya kuongeza ufahamu inayojaribu kuleta mabadiliko ya tabia.kutokana na janga kuu la virusi vya korona la 2019-20, unicef iliboresha kutumika kwa emoji ya kunawa mikono.

영어

global hand washing day is another example of an awareness-raising campaign that is trying to achieve behavior change.as a result of the 2019-20 coronavirus pandemic, unicef promoted the adoption of a handwashing emoji.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa kushirikiana na wizara ya afya ya guinea, unicef imepeleka tani tano za madawa na vifaa vya matibabu kama vile glovu za mikononi, vitambaa, mablanketi, vitambaa vya kufunika uso, na maji ya kupunguza upungufu wa maji mwilini kuwalinda wafanyakazi wa afya na kuwatibu wagonjwa.

영어

in collaboration with the guinean ministry of health, unicef has delivered in most affected areas five tons of medicines and medical equipment such as gloves, plastic mats, blankets, nose guard, and rehydration solutions to protect medical staff and treat patients.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,744,540,788 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인