검색어: uzinduzi (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

uzinduzi

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

ili kuuelimisha umma zaidi, wiki hii wateraid ilitangaza uzinduzi wa zana mpya ya kutafutia vyoo nchini uingereza ya simu za mkononi za iphone.

영어

to further increase awareness, wateraid announced the launch of its new toiletfinder uk app for iphone users this week.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

lakini hili la kumdhibiti mgeni wakati wa uzinduzi wa kitabu chake ni sawa na uchokozi wa kitoo kabisa kwa oliver fricker, pengine umezidi kipimo katika kitabu changu.

영어

but turning the screws on a foreigner in his book launch, although the foreigner is like a taunting oliver fricker and asking for it, is a bit too much in my book.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mwezi machi mwaka jana ndio ulikuwa mwezi wa uzinduzi wa zoezi hilo kwenye blogu hii, na bila kupuliza sana mavuvuzela yetu kw akujisifu, ule kwa hakika ulikuwa ni mwezi mzuri.

영어

last march was the inaugural white history month here on africa is a country, and without tooting too loudly on our own vuvuzela, it was kind of brilliant.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

uzinduzi wa tuzo hizo za glolden baobab kwa wachoraji wa ki-afrika ulifanyika mwezi novemba, na ni moja ya tuzo sita zinazotambua waandishi na wachoraji bora wa ki-afrika wa vitabu vya watoto wa mwaka.

영어

awarded in november, the inaugural golden baobab prize for african illustrators was one of the foundation’s six prizes recognizing the year’s best african writers and illustrators of children’s stories.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mapema juma lililopita, wakati wa uzinduzi wa mkutano juu ya chanjo ya ukimwi ya kimataifa ya 2008 (international aids vaccine 2008) huko cape town, hogan, alitangaza hadharani kwamba vvu husababisha ukimwi na kwamba ni lazima kukabiliana nao kwa kutumia dawa za hospitalini.

영어

earlier this week, at the opening of the international aids vaccine 2008 conference in cape town, hogan publicly declared that hiv does cause aids and should be treated with conventional medicine.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,762,633,562 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인