검색어: washikadau (스와힐리어 - 영어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

washikadau

영어

stakeholders

마지막 업데이트: 2023-05-18
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

panga ratiba ya masomo ya programu za kupitia njia za kimtandao: panga majadiliano na washikadau kuchunguza muda inayowezekana shule zitafungwa na kuamua ikiwa programu za kupitia njia za kimtandao inafaa kuangazia kufunza maarifa mpya au kuimarisha maarifa ya wanafunzi ya vipindi vilivyopita.

영어

plan the study schedule of the distance learning programmes: organise discussions with stakeholders to examine the possible duration of school closures and decide whether the distance learning programme should focus on teaching new knowledge or enhance students’ knowledge of prior lessons.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

mgombea u-rais wa upinzani, muhammadu buhari, pamoja na washikadau wakuu wa asasi za kiraia wamewataka watu kuwa watulivu, lakini uamuzi huu umechochea hali ya watu kutokuridhika na hali ilivyo.

영어

the opposition candidate, muhammadu buhari, and major actors in civil society have appealed for calm, but the decision triggers major discontent.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

kwa washikadau walio na mipango ya kufanya biashara na uwekezaji nchini tanzania, ukosoaji unaifanya sekta kama ya gesi iliyo na changamoto nyingi kuwa ngumu zaidi, na wengine wanaona kuwa, matokeo yake ni kuwa, maeneo yaliyotelekezwa hayatafaidika ipasavyo.

영어

for stakeholders with particular interests in business and investments in tanzania, criticism makes a challenging investment area like gas even more difficult, and some will even argue that it will result in less money going to neglected areas.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

스와힐리어

tukio la siku mbili lililoanza jana; linaratibiwa na taasisi ya danquah (di), kituo cha kutafakari sera, utafiti na uchambuzi, kutengeneza jukwaa la kitaifa kwa washikadau kuongoza majadiliano kuhusu uwezekano wa uanzishwaji wa kuandikisha wapiga kura kwa njia za vipimo vya kibaiolojia na hatimaye mfumo wa upigaji kura kwa njia ya mtandao nchini ghana.

영어

a two-day event which began yesterday; is being organized by the danquah institute (di), a policy think tank, research and analysis centre, to create a national platform for stakeholders to lead the discussion on the possibility of facilitating the adoption of biometric voter registration, and subsequently the e-voting system in ghana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,764,870,426 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인