전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
katika mapokeo ya wayahudi joka ni mfano wa kila enzi mbaya na adui wa mungu na wa taifa lake
in jewish tradition the dragon is a symbol of every evil age and enemy of god and of his nation
마지막 업데이트: 2021-02-24
사용 빈도: 2
품질:
추천인:
lakini wayahudi walipoliona hilo kundi la watu walijaa wivu, wakapinga alichokuwa anasema paulo na kumtukana.
but when the jews saw the multitudes, they were filled with envy, and spake against those things which were spoken by paul, contradicting and blaspheming.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wayahudi wakamwambia, "je, hatukusema kweli kwamba wewe ni msamaria, na tena una pepo?"
then answered the jews, and said unto him, say we not well that thou art a samaritan, and hast a devil?
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다
ninyi wasamaria mnamwabudu yule msiyemjua, lakini sisi tunamjua huyo tunayemwabudu, kwa maana wokovu unatoka kwa wayahudi.
ye worship ye know not what: we know what we worship: for salvation is of the jews.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
wakati paulo alipofika, wayahudi waliokuwa wametoka yerusalemu walimzunguka wakaanza kutoa mashtaka mengi mazitomazito ambayo hawakuweza kuthibitisha.
and when he was come, the jews which came down from jerusalem stood round about, and laid many and grievous complaints against paul, which they could not prove.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
kwa maana, ikiwa mungu hakuwahurumia wayahudi ambao ni kama matawi ya asili, je, unadhani atakuhurumia wewe?
for if god spared not the natural branches, take heed lest he also spare not thee.
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
"wayahudi wanajua habari za maisha yangu tangu utoto, jinsi nilivyoishi tangu mwanzo kati ya taifa langu huko yerusalemu.
my manner of life from my youth, which was at the first among mine own nation at jerusalem, know all the jews;
마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다