검색어: accessing (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

individuals may also have difficulty accessing electricity to charge their mobile phones.

스와힐리어

watu wanaweza pia kuwa na ugumu wa kupata umeme wa kuchaji simu zao za mkononi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the issue of accessing pure and affordable water is a fundamental human right but this is not given the much needed attention.

스와힐리어

suala la upatikanaji wa maji safi na kwa bei nafuu ni haki ya kibinadamu lakini hii haijapewa kipaumbele inavyohitajika sana.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

just today, activists claimed that the government has hacked into their email accounts, accessing their blogs and social networking sites, and disabling them.

스와힐리어

ni leo tu, wanaharakati wamedai kwamba serikali imeingilia anuani zao za barua pepe,na kuziingilia blogu na mitandao yao ya kijamii, na kuzizuia zisifanye kazi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

they utilized a hospital-grade anti-viral solution to disinfect every surface, as well as the lobby and elevator banks accessing our floor.

스와힐리어

walitumia myeyusho wa kuua virusi unaotumiwa hospitalini ili kutakasa kila mahali, hata pia ukumbini na ngazi zinazofikia sakafu yetu.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

영어

uganda's internet penetration rate is a little over six percent, a number that prevents large swaths of the population from joining uganda's blogren or accessing the global blogosphere.

스와힐리어

inakadiriwa kuwa matumizi na kuenea kwa intaneti nchini uganda ni kwa kiwango cha asilimia sita tu, idadi ambayo inazuia sehemu kubwa ya watu kujiunga na ulimwengu wa blogu nchini uganda au kuweza kuwasiliana na ulimwengu wa blogu duniani.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

and according to activists on the ground, the government retaliated by 'hijacking' the email accounts of activists, including lawyers and journalists, and accessing their blogs and social networking sites, such as on facebook, and deactivating them.

스와힐리어

na kwa mujibu wa wanaharakati waliopo nchini humo, serikali ilijibu mashambulizi kwa ‘kuziteka’ anuani za barua pepe za wanaharakati, ikiwa ni pamoja na zile za wanasheria na za waandishi, na kuweza kuzitumia blogu zao na mitandao ya kijamii, kama vile facebook,na kuzizuia zisiweze kufanya kazi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
8,910,127,168 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인