전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
at the exact moment of this post's publication, over 1,735,000 people had already signed a petition supporting the ficha limpa (no criminal record) bill, which seeks to prevent politicians who have committed serious crimes, such as misuse of public funds, corruption, murder and drug trafficking, from running in elections.
wakati ambapo makala haya yanakwenda mitamboni, karibu watu 1,735,000 walikwishatia saini kuunga mkono muswada wa sheria inayojulikana kama ficha limpa (yaani mtu safi au mtu asiye na rekodi ya uhalifu), na sheria hiyo inakusudia kuwazuia wanasiasa ambao wametenda makosa makubwa ya jinai kama vile matumizi mabaya ya fedha za umma, ufisadi, mauaji na kujihusisha na biashara ya dawa za kulevya ili kwamba wasipate fursa ya kugombea nafasi yoyote ya kuchaguliwa.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
연관성이 낮은 일부 인적 번역은 숨겨져 있습니다.
연관성이 낮은 결과 표시.