검색어: humanitarian (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

humanitarian

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

this is a humanitarian issue.

스와힐리어

hili ni suala la kiutu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

i respect the kindness to provide humanitarian aid.

스와힐리어

ninaheshimu ukarimu wao wa kutoa misaada ya kibinadamu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

"now it's a humanitarian cause," she says.

스와힐리어

“sasa ni shauri la kibinadamu,” anasema.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

according to metropolehaiti, the usa have already proposed humanitarian assistance.

스와힐리어

kwa mujibu wa metropolehaiti, marekani tayari imekwishapendekeza misaada ya kibinadamu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

fatima bhutto is not only a influential political heir but also a humanitarian.

스와힐리어

siyo tu kwamba fatima bhutto ni mrithi mwenye ushawishi katika ulimwengu wa siasa bali pia ni mtetezi wa utu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

a top u.n. humanitarian official has condemned the violence and demanded an investigation.

스와힐리어

afisa mmoja wa ngazi za juu wa umoja wa mataifa amelaani unyama huo na kutaka uchunguzi ufanywe.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

now, in iran, humanitarian activist mothers are fast becoming global icons for human rights causes worldwide.

스와힐리어

hivi sasa, huko irani, akina mama wanaharakati wa haki za binadamu, wanazidi kuwa alama za ulimwengu katika kupigiania haki za binadamu ulimwenguni kote.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

as sri lanka's humanitarian crisis unfolds, the international community must make its message clear and forthright.

스와힐리어

wakati mgogoro wa kibinaadamu unavyojitokeza nchini sri lanka, jumuia ya kimataifa inabidi itoe tamko wazi na la moja kwa moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

internet cafés have sprung up in some settlements, the hardware purchased by refugee entrepreneurs or donated by humanitarian organisations such as unhcr.

스와힐리어

migahawa ya intaneti imechipuka katika sehemu walizofikia, na vifaa vimenunuliwa na wajasiriamali wakimbizi au vilivyotolewa na mashirika ya misaada ya kibinadamu kama vile unhcr.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

another phenomenon is also strongly anchored in the fabric of many developed societies: the increase in frequency of humanitarian campaigns around the holiday season.

스와힐리어

jambo jingine ambalo limelojikita sana katika jamii zilizoendelea: ni ongezeko la kampeni za misaada ya kibinadamu wakati wa kipindi cha sikukuu (za mwisho wa mwaka).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

cyprien fabre, head of the regional bureau of the european commission humanitarian aid (echo) offers the following assessment :

스와힐리어

cyprien fabre, kiongozi wa kitengo cha eneo maalumu wa tume ya ulaya ya misaada ya kibinadamu (echo) anatoa tathmini ifuatayo :

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

it will be the first nelson mandela international day, as the united nations passed a resolution on the day in november 2009, declaring 18 july an international day set aside for humanitarian activities.

스와힐리어

itakuwa ndiyo siku kimataifa ya nelson mandela ya kwanza tangu umoja wa mataifa ulipopitisha azimio mwezi novemba mwaka 2009, likiitangaza tarehe 18 julai kwamba ni siku inayotengwa kwa ajili ya shughuli za kuimarisha utu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

“this is all the more urgent since no humanitarian aid has reached those who need it for over a week,” said director of operations, pierre krähenbühl.

스와힐리어

“hii ni dharura kwani hakuna msaada wowote wa kibinaadamu ambo umeweza kuwafikia wale wanaouhitaji kwa zaidi ya wiki moja’” alisema mkurugenzi wa mipango, pierre krähenbühl.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

military occupation of civilian institutions and killing of civilians, particularly in places such as schools which should remain safe havens for children from this type of violence, are unacceptable, deplorable and contrary to international human rights and international humanitarian standards

스와힐리어

hali ya majeshi kushikilia taasisi za kiraia pamoja na kuwaua raia, hususani maeneo kama shule ambazo zilipaswa kuwa sehemu salama kwa ajili ya watoto wa maeneo haya yaliyo na machafuko, ni mambo yasiyokubalika, wala kuvumilika na ni kinyume kabisa na haki za kimataifa za binadamu na pia ni kinyume na viwango vya kimataifa vya utoaji huduma za kijamii

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

perhaps he hopes that the bevy of brown nose humanitarian types who support his wife’s every cause will transfer their ‘goodwill’ to developmental programs in karamoja.

스와힐리어

labda ana matumaini kwamba wale watu wanaounga mkono kila juhudi za mke wa rais basi watahamishia 'usamaria' wao katika miradi ya maendeleo ya karamoja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

i mean, how have the media succeeded in presenting the case of gaza as one of a hungry person under siege, searching for food and "humanitarian" aid not worthy of dogs?!

스와힐리어

yaani, ni vipi vyombo vya habari vimefanikiwa kuwasilisha shauri hili kama shauri moja la mtu mwenye njaa aliyezingirwa, anayetafuta misaada ya kibinaadamu na chakula kisichomfaa hata mbwa?!

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

@humayusuf (huma yusuf): they say muslims don't have a sense of humour, but hafiz saeed's offer to help #sandy victims is hilarious http://www.thenews.com.pk/todays-news-13-18499-hafiz-saeed-offers-humanitarian-aid-to-us … @andyrude (anirudh malladi): just read that hafiz saeed, a dreaded terrorist, has offered "help in the form of food, doctors etc" to victims of #hurricanesandy.

스와힐리어

@andyrude (anirudh malladi): punde tu nimesoma kuwa, hafiz saeed, gaidi aliyeogopeka, amejitolea"kutoa msaada wa vyakula, madaktari, n.k " kwa wahanga wa kimbunga cha sandy.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,762,745,798 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인