전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
maximum length
마지막 업데이트: 2024-05-07
사용 빈도: 1
품질:
c / meaning of the word maximum
c/maana ya neno upeo
마지막 업데이트: 2021-03-20
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
a 24h webcast from the auditorium maximum was put in place.
matangazo ya mtandaoni kwa masaa 24 kutokea kwenye ukumbi huo yalizinduliwa.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
selling substandard face masks has a maximum sentence of life imprisonment
kuuza barakoa duni za uso kunaweza kusababisha kifungo cha maisha
마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
if found guilty, he can be detained for a maximum of 43 years.
akipatwa na hatia, anaweza kufungwa kwa miaka isiyozidi 43.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the maximum chilean court ruled to partially annul the trial that convicted them.
mahakama kuu ya chile ilisimamia katika kuharakisha uchunguzi uliopelekea hukumu yao.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the kasubi tombs are equally a heritage for the country so i hope both sides deal with this issue with maximum restraint.
makaburi ya kasubi pia ni urithi kwa nchi kwa hiyo natumaini pande zote zitalishughulikia suala hili kwa uangalifu wa hali juu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
nor do they think that the west was created by satan and should be defeated in battle by inflicting maximum civilian casualties through random and creative acts of murderous suicide.
na wala hawafikiri kwamba nchi za magharibi ndizo zilizomtengeneza sheitwan na kwamba raia wa kimagharibi ndio wanaopaswa kupigwa na kuangamizwa kwa kutumia matendo ya kujitoa mhanga yanayosukwa kwa ustadi na kwa kushtukiza.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
it also provides for prison sentences for anyone who does not report gay people to authorities and punishes the use of facebook and twitter accounts to fight for gay rights a crime with a maximum of seven years in jail.
sheria hiyo inatoa adhabu ya kifungo jela kwa yeyote ambaye hatatoa taarifa za kuwapo kwa raia anayefanya vitendo vya kishoga kwa mamlaka za kiserikali na vile vile sheria hiyo inatoa hukumu kwa mtu yeyote kutumia mitandao ya kijamii kama facebook na twita kwa minajili ya kupigania haki za mashoga kitendo kinachotafsiriwa na sheria hiyo kuwa ni cha jinai na hukumu yake ni kifungo kisichozidi miaka saba jela.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
it all started in vienna, austria on october 22, when a small group of students met for a flashmob in the city center to protest, and then headed to university of vienna where they spontaneously occupied the auditorium maximum.
yote hii ilianzia vienna, austria, tarehe 22 oktoba, ambapo kikundi kidogo cha wanafunzi walikutana ili kufanya maonyesho ya kushtua katikati ya jiji kwa ajili ya kupinga, na baada ya hapo wakaelekea kwenye chuo kikuu cha vienna ambapo walijaza kwa haraka na bila kupanga ukumbi wa kukutania.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
in an official statement, the president -who is the maximum authority and commander in chief of the guatemalan army- indicated that he has ordered an investigation into the violence and deaths from october 4.
katika tamko rasmi la serikali, rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho na aliye amiri jeshi mkuu wa jeshi la guatemala alitanabaisha kuwa ameshatoa amri ya kufanyika kwa uchunguzi kuhusiana na uonevu na mauaji toka octoba 4.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
the constitution of the republic of congo (also known as congo-brazzaville) limits the number of presidential terms to two, and sets the maximum age to stand for office at 70.
katiba ya jamhuri ya kongo (nchi inayofahamika pia kama kongo-brazzaville) inamzuia rais kutawala zaidi ya vipindi viwili, na imeweka umri wa mwisho wa rais kuwa madarakani ambao ni miaka 70.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
추천인:
required virtual size does not fit available size: requested=(%d, %d), minimum=(%d, %d), maximum=(%d, %d)
mirrorpantallas en espejo", *not* "espejar pantallas
마지막 업데이트: 2014-08-15
사용 빈도: 3
품질:
추천인:
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다