검색어: musical (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

musical

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

musical instruments

스와힐리어

wapiga vyombo vya muziki

마지막 업데이트: 2024-02-29
사용 빈도: 1
품질:

영어

and that really opened the door of my independent musical life."

스와힐리어

na hiyo ndiyo iliyofungua mlango wa mafanikio yangu kimziki."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

so far the protest rallies have been peaceful, in some places colorful and musical.

스와힐리어

mpaka sasa maandamano ya upinzani yamekuwa ya amani, katika sehemu nyingjne yaliyojaa rangi na muziki.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

news and video of the military band's musical jab spread quickly on twitter.

스와힐리어

habari na video ya bendi ya jeshi kupiga wimbo huo zilisambaa haraka sana kwenye mtandao wa twita.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

potkin azarmehr tweeted "pres candidates may be asked to play musical chairs next."

스와힐리어

potkin azarmehr alitwiti "wagombea urais wanaweza kuombwa kucheza muziki."

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

the music has to have a "soothing rhythm" and a rather narrow musical range.

스와힐리어

muziki una "ala nyororo" sambamba na mapigo ya taratibu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

at the same time, it is heartening to see these musical greats finally getting international recognition for what is ultimately an indian movie.

스와힐리어

wakti huo huo, ni jambo zuri kuwaona hawa mahiri wa muziki, hatimaye wanapata kutambuliwa ulimwenguni kutokana na filamu ambayo ni ya kihindi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

arrow put montserrat and himself on the musical map in 1982 with his gigantic hit: 'hot, hot, hot'.

스와힐리어

arrow alijiweka yeye pamoja montserrat katika ramani ya muziki mnamo mwaka 1982 kwa kibao chake kikali: ‘hot, hot, hot'.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the ethno part is a nod to her classical indian musical roots and the punk, she says, helps her express the struggles of being an independent woman in india today.

스와힐리어

sehemu ya ethno ni kuendeleza asili yake ya muziki wa ki-hindi na punk, anasema, inamsaidia kuelezea mapambano ya kuwa mwanamke anayejitegemea nchini india leo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

i then got to thinking that if these heathen brutes could be introduced to the joys of producing actual musical notes from their hellish plastic pipes there might just be a shift in zeitgeist amongst them and they might seek to actually make music.

스와힐리어

ndipo nikawaza kwamba ikiwa haya mapagani zuzu yangeonyeshwa furaha ya kutengeneza nota za muziki kwa kutumia mabomba haya ya plastiki basi pangeweza kutokea mabadiliko ya kifikra kati yao na wangejaribu kuanza kupiga muziki.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

reasoncheck wonders, "...if these heathen brutes could be introduced to the joys of producing actual musical notes from their hellish plastic pipes":

스와힐리어

reasoncheck anawaza, “…laiti haya mapagani zuzu yangejua furaha ya kutengeneza nota za muziki kwa kutumia mabomba haya ya jehanamu”:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

another trend in these discussions is the issue of other musical genres besides dancehall (i.e. soca and calypso, hip hop, rap etc.), especially as jamaica enters its carnival season - a time when imported soca music takes centre stage across the island.

스와힐리어

mwelekeo mwingine katika majadiliano haya yanahusu mitindo mingine ya muziki ukiachilkia mbali muziki wa dancehall (yaani, soca na calypso, hip hop, miziki ya kufoka n.k.), hasa kutokana na kwamba jamaika ndiyo inaingia kwenye msimu wa kanivali – kipindi ambacho miziki ya soca inachukua jukwaa la kati visiwani kote.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

인적 기여로
7,763,171,218 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인