검색어: proposals (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

proposals

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

ghana: constitution review meets interesting proposals · global voices

스와힐리어

ghana: mapendekezo ya kuvutia kwenye mapitio ya katiba

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

we are willing to join efforts with others and welcome those who will join our proposals.

스와힐리어

tuko tayari kujiunga na juhudi za watu wengine na kuwakaribisha wale ambao wataungana na mapendekezo yetu.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

opposition mounts over tanzania and zambia ivory proposals to cites · global voices

스와힐리어

upinzani waongezeka dhidi ya mapendekezo ya tanzania na zambia katika makubaliano ya cites

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

if our proposals are rejected, those who reject them will have to justify themselves before their citizens.

스와힐리어

kama mapendekezo yetu yatakataliwa, wale watakaoyakataa na itawabidi kujieleza wenyewe mbele ya wananchi wao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

both sides have sent their proposals to the cites secretariat and the secretariat has generously posted the proposals on their website.

스와힐리어

pande zote zimetuma mapendekezo kwa sekretarieti ya cites ba sekretarieti imekuwa na uungwana kwa kuweka mapendekezo hayo kwenye wavuti yao.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

the baraza blog published the content of the proposals that zambia and tanzania have put forward and kenya's opposing proposal.

스와힐리어

blogu ya baraza ilichapicha maudhui ya makubaliano hayo ambayo zambia na tanzania imeyaleta pamoja na pendekezo la kenya la kuupinga.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in a different blog post on baraza, paula writes about the uk's resolve to vote against the two proposals:

스와힐리어

katika posti nyingine kwenye blogu hiyo ya baraza, paula anaandika kuhusu kusudio la uingereza la kupiga kura ya kupinga mapendekezo yote mawili:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

that specific analysis was followed by several proposals from the parliament member mariela castro espín, who was the spokesperson with a set of approaches from workers and activists as part of the public consultation process of the drafting of the law.

스와힐리어

uchambuzi huo mahususi ulifuatiwa na mapandekezo kadhaa kutoka kwa mbunge mariela castro espín, ambaye ni msemaji anayekutana na wafanyakazi na wanaharaki kama sehemu ya mchakato wa wazi wa ushauri wa kiutaalamu wa muswada wa sheria.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

in this blog post, harvey has included links to the kef fact sheets that you may want to read in order to understand the ivory problem and the likely implication of the tanzania/zambia proposals.

스와힐리어

katika makala hii ya blogu yake, harvey ameweka viungo vya maelezo muhimu kuhusu suala hilo ya kef ambayo unaweza kutaka kuyasoma ili kuona tatizo la pembe za ndovu na maana ya mapendekezo ya tanzania/zambia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

this can, in some way, be considered as a response to proposals that go in that direction, such as that recently advanced by the president of brazil, dilma roussef, before the un and to the activities of the nsa.

스와힐리어

hatua hii, kwa namna moja, inaweza kuchukuliwa kuwa ni matokeo ya mapendekezo yaliyokuwa na muelekeo wa namna hiyo, kama vile maoni yaliyoelekezwa umoja wa mataifa (un) na rais wa brazil, dilma roussef na maoni juu ya utendaji kazi wa uwepo wa vikwazo vya mtandao wa intaneti(nsa).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

영어

project proposal

스와힐리어

pendekezo la mradi

마지막 업데이트: 2020-12-04
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,744,028,143 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인