검색어: suspended (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

suspended

스와힐리어

kusimamishwa

마지막 업데이트: 2021-05-18
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

budget support was suspended.

스와힐리어

msaada wa bajeti ulisitishwa.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

then he drew near and hung above suspended,

스와힐리어

kisha akakaribia na akateremka.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

but his sentence was suspended for five years.

스와힐리어

hata hivyo, hukumu hiyo iliahirishwa kwa miaka mitano.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

but do not be so biased as to leave another suspended.

스와힐리어

kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

schools activities suspended in managua and león due to the earthquake.

스와힐리어

shughuli za shule kusimamishwa katika managua na león kutokana na tetemeko la ardhi..

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

many large theatres such as those on broadway also suspended all performances.

스와힐리어

ukumbi wa michezo nyingi kama yale yaliyoko broadway pia zilisimamisha michezo za kuigiza.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

do not be altogether partial so that you leave her as if she were suspended.

스와힐리어

kwa hivyo msimili moja kwa moja mkamwacha (mmojapo) kama aliye tundikwa.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

he also received a suspended sentence of three years for a firearm offence.

스와힐리어

kadhalika atatumikia miaka mingine mitatu nje ya gereza kwa kosa la matumizi ya silaha kinyume cha sheria.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

after the team was eliminated from the tournament, jonathan announced they would be suspended for two years .

스와힐리어

after the team was eliminated from the tournament, jonathan announced they would be suspended for two years .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

reforms to the educational system were suspended in gabon after teachers and students marched together in protests.

스와힐리어

mageuzi ya mfumo wa elimu yaliahirishwa nchini gabon baada ya walimu na wanafunzi kuandamana pamoja kwa maandamano.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

al sisi also announced that the egyptian constitution has been suspended and that preparations will be made for both presidential and parliamentary elections.

스와힐리어

al sisi vile vile alitangaza kwamba katiba ya misri imesimamishwa na kwamba maandalizi yatafanywa kwa ajili ya uchaguzi wa rais na wabunge.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

april 11, it suspended operation of the northern ditch facilities to get rid of the benzene-polluted water.

스와힐리어

majira ya saa 5 asubuhi, april 11, kampuni hii ilisitisha utoaji wa huduma katika mfumo wa mabomba wa kaskazini kwa lengo la kuyaondoa maji yaliyochanganyikana na kiasi kikubwa cha benzene.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

if abhisit and korn are found guilty, they will be impeached and suspended from holding any political position in accordance with the constitution.

스와힐리어

endapo abhisit na korn watapatikana na hatia, watavuliwa madaraka yao na kupigiwa marufuku kushika nafasi yoyote ya kisiasa kwa mujibu wa katiba ya nchi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

after their elimination from the tournament, jonathan announced the team would be suspended for two years while plans were carried out to eliminate corruption.

스와힐리어

mara baada ya timu hiyo kutupwa nje ya mashindano, jonathan alitangaza kwamba timu hiyo ingefungiwa kwa muda wa miaka miwili wakati ambapo mipango ingewekwa ili kukabili ufisadi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

delivery of the munitions was suspended, just as the greek government was coming under fire from opposition parties, and amnesty international was calling for an arms embargo.

스와힐리어

usafirishaji wa shehena hiyo ulisitishwa, wakati serikali ya ugiriki ilipobanwa na vyama vya upinzani pamoja na shirika la msamaha duniani lilipokuwa likitaka vikwazo vya uingizwaji wa silaha nchini israeli vipitishwe.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

during this time, water in the urban area of the city will be provided via depressurisation technics, but the water supply in gaoping district and remote areas will be suspended.

스와힐리어

katika kipindi hiki, kwa maeneo ya mijini, maji yatakuwa yakitolewa kupitia mbinu ya kupunguza kani eneo, lakini hakutakuwa na maji kwa mtaa wa gaoping na maeneo mengine ya pembezoni.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

among those tweeting inside the university campus, that has suspended it academic activities, we find the group ucab student movement sharing information and posting images of injured students .

스와힐리어

miongoni mwa wale wanao twiti ndani ya chuo kikuu hicho, kilchosimamisha shughuli zake za kitaaluma, kuna kundi la harakati za wanafunzi wa ucab wakiweka habari na picha za wanafunzi waliojeruhiwa .

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

the legislature passed the first reading on october 25, 2013, but the legislative process was suspended in reaction to a massive mobilization of opponents of same-sex marriage.

스와힐리어

bunge liliupitia muswada huo baada ya kuusoma kwa mara ya kwanza oktoba 23, 2013, lakini mchakato wa kisheria ulisimamishwa baada ya wapinzani wa sheria hiyo kupinga vikali ndoa za jinsia moja.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a tippy-tap is a simple technology using a jug suspended by a rope, and a foot-operated lever to pour a small amount of water over the hands and a bar of soap.

스와힐리어

mfereji wa kuning'inia ni teknolojia rahisi inayotumia jagi iliyofungwa kwa kamba na kidude kinachoendeshwa kwa miguu ili kumwaga maji kidogo mkononi na kwenye sabuni ya kipande.

마지막 업데이트: 2020-08-25
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,761,825,245 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인