검색어: television (영어 - 스와힐리어)

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

television

스와힐리어

televisheni

마지막 업데이트: 2013-08-16
사용 빈도: 5
품질:

추천인: Wikipedia

영어

'switch off television news'

스와힐리어

'zima taarifa za habari'

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Wikipedia

영어

cable, satellite, or broadcast television

스와힐리어

kebo

마지막 업데이트: 2021-08-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

his nightmarish television documentary can be seen here....

스와힐리어

katika filamu yake ya televisheni inayoweza kusababisha jinamizi inaweza kupatikana hapa....

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it’s also very compelling, immediate television.

스와힐리어

kadhalika ni kipindi cha runinga chenye ushawishi wa papo hapo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a project within the project is some television series.

스와힐리어

mradi ndani ya mradi ni aina fulani ya mfululizo wa vipindi vya runinga.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

“we see on the television people washed up on the seashore.

스와힐리어

“tunaona kwenye televisheni watu wakiwa wamesombwa na maji na kuletwa pembezoni mwa ukingo wa bahari.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

zanzibaris watching obama's visit on local television station.

스와힐리어

wazanzibari wakifuatilia ziara ya obama kupitia kituo cha televisheni kimojawapo cha tanzania.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

ecuador: government suspends television channel teleamazonas · global voices

스와힐리어

ecuador: serikali yaifungia idhaa ya televisheni ya teleamazonas

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

television presenter and radio host xandria ooi said that blaming will not help the cause:

스와힐리어

mtangazaji wa televisheni na redio, xandria ooi alidokeza kuwa lawama hazitasaidia kujua chanzo:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

@gemyhood: this is a presenter at the egyptian television happy at the murder of shia

스와힐리어

@gemyhood: huyu ni mtangazaji wa televisheni ya taifa ya misri akifurahia mauaji ya waumini wa shia

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

@alejandrobascur: great special report by tvn (national television of chile).

스와힐리어

@alejandrobascur: taarifa kubwa na maalumu iliyooneshwa na tvn ( televisheni ya taifa ya chile).

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

côte d'ivoire: who is in control of rti state television? · global voices

스와힐리어

ivory coast: je, nani anadhibiti televisheni ya taifa ya rti?

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a screenshot of a tweet by mohammed saber, an anchor at an egyptian television celebrating the murder of shia in egypt.

스와힐리어

picha iliyopigwa kutoka kwenye twiti iliyowekwa na mohammed saber, ambaye ni mtangazaji na msimamizi wa matangazo katika televisheni ya misri akisherehekea mauaji ya waumini wa shia waishio misri.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

renegade soldiers have announced that they are seizing power in mali, after taking over the state television building and presidential palace.

스와힐리어

wanajeshi waasi wametangaza kwamba wametwaa madaraka nchini mali , baada ya kukiteka kituo cha televisheni ya taifa pamoja na ikulu ya nchi hiyo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

during a swearing in ceremony of constitution office holders, the only time sata publicly addresses the nation on television, he said:

스와힐리어

wakati wa sherehe za kuapishwa kwa maafisa wa masuala ya katiba, wakati pekee ambapo sata amewahi kulihutubia taifa kwa njia ya runinga, alisema:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

blogger mohamed beshir shares a tweet by a presenter at the egyptian television named mohammed saber, who is celebrating the murder of the shia and calling for more deaths.

스와힐리어

mwanablogu mohamed beshir aweka twiti ya mtangazaji wa televisheni ya misri ajulikanaye kwa jina la mohammed saber, ambaye anasherehekea mauaji ya waumini wa shia na kutaka wengine zaidi wa shia wauawe.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

a parody photomontage of president gjorge ivanov participating in the macedonian version of the popular television quiz “who wants to be a millionaire”.

스와힐리어

picha ya maigizo ya rais gjorge ivanov akishiriki kwenye shindano maarufu la chemshabongo ya televisheni nchini macedonia “nani anataka kuwa milionea”.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

bangladesh was the first country to meet meena when a film about her struggle to go to school aired on bangladesh national television (btv) in 1993.

스와힐리어

bangladesh ilikwa nchi ya kwanza kukutana na meena mara baada ya filamu yake ya kwanza iliyokuwa inaonesha harakati zake za kutaka kwenda shuleni iliyokuwa ikioneshwa katika televisheni ya taifa ya bangladesh(btv) mwaka 1993.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

after cnn wrongly placed tanzania in uganda and nairobi in nigeria on a map of east africa, the africa is a country blog suggested that people switch off television news to make sense of the attack:

스와힐리어

baada ya cnn kukosea na kuiweka tanzania kwenye eneo la uganda na nairobi kuonekana iko nigeria kwenye ramani ya afrika mashariki, blogu ya africa is a country blog ilishauri kwamba watu wazime televisheni zao ili waweze kuelewa shambulio hili:

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,761,341,539 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인