검색어: these days (영어 - 스와힐리어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

English

Swahili

정보

English

these days

Swahili

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

영어

스와힐리어

정보

영어

not available these days

스와힐리어

hupatikani

마지막 업데이트: 2020-12-11
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

why are you getting better these days?

스와힐리어

wooi uwongo nani….. uwongo 😂😂😂 jameni, ni seule gani wewe huenda?

마지막 업데이트: 2022-07-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

that's the question everyone has these days.

스와힐리어

hilo ndilo swali kubwa siku za leo.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

there is a bad stench suffocating us these days

스와힐리어

kuna harufu mbaya inayotukosesha amani siku hizi

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

good news from war-torn syria is rare these days.

스와힐리어

kwa siku za hivi karibuni, imekuwa nadra sana kusikia habari nzuri kutoka syria, nchi iliyokumbwa na vita vikali.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

and in these days came prophets from jerusalem unto antioch.

스와힐리어

wakati huohuo, manabii kadhaa walikuja antiokia kutoka yerusalemu.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i reiterate that these days of shahbag will be part of history.

스와힐리어

narudia kusema kuwa, siku hizi za kukusanyika shahbag zitakuwa ni sehemu ya historia.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

i managed to collect two bottles and survived on them all these days.

스와힐리어

niliweza kupata chupa mbili za maji ambazo ndizo zilizonifanya nikawa hai kwa siku zote hizi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

it appears that there is no shortage of political revelations for zambians these days.

스와힐리어

inaonekana kwamba kuna upungufu wa mambo mapya ya kisiasa yanayoibuliwa kwa wa-zambia siku hizi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

and these days, even driving around in a car at night isn't recommended.

스와힐리어

na siku hizi, haipendekezwi hata kuendesha gari wakati wa usiku.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

yea, and all the prophets from samuel and those that follow after, as many as have spoken, have likewise foretold of these days.

스와힐리어

manabii wote, kuanzia samweli na wale waliomfuata, walitangaza habari za mambo haya ambayo yamekuwa yakitendeka siku hizi.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

hala is my young niece who lives in libya and cannot come to gaza – which has become everyone's focus these days.

스와힐리어

hala ni mpwa wangu mchanga anayeishi nchini libya na hawezi kuja gaza - kitu ambacho kimekuwa ndiyo lengo la karibu kila mmoja wetu siku hizi.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

we bring these days to men by turns, so that god may know those who believe, and choose witnesses from among you; and god does not love the unjust,

스와힐리어

na siku za namna hii tunaweletea watu kwa zamu, ili mwenyezi mungu awapambanue walio amini na awateuwe miongoni mwenu mashahidi. na mwenyezi mungu hawapendi madhaalimu;

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

and the one of them, whose name was cleopas, answering said unto him, art thou only a stranger in jerusalem, and hast not known the things which are come to pass therein these days?

스와힐리어

mmoja, aitwaye kleopa, akamjibu, "je, wewe ni mgeni peke yako yerusalemu ambaye hujui yaliyotukia huko siku hizi?"

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

영어

in his recent address at walter sisulu university in mthatha, malema said it was the job of the youth to introduce radical ideas, but bemoaned the fact that these days, one is hauled before a disciplinary committee for “telling the truth”.

스와힐리어

katika hotuba yake ya hivi karibuni katika chuo kikuu cha walter sisulu huko mthatha, malema alisema ilikuwa ni kazi ya vijana kupenyeza hoja za kiradikali, lakini akalalamika kwamba siku hizi, mtu anawekwa kiti moto mbele ya kamati ya nidhamu kwa ajili ya “kusema ukweli”.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

영어

if a wound has afflicted you (at ohud), a wound like it has also afflicted the (unbelieving) people; and we bring these days to men by turns, and that allah may know those who believe and take witnesses from among you; and allah does not love the unjust.

스와힐리어

kama yamekupateni majaraha, basi na hao watu wengine yamewapata majaraha mfano wa haya. na siku za namna hii tunaweletea watu kwa zamu, ili mwenyezi mungu awapambanue walio amini na awateuwe miongoni mwenu mashahidi.

마지막 업데이트: 2023-11-08
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

인적 기여로
7,772,985,004 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인