전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
kiel kinacotokea leo burundi ni mapaki ya kile kilichotokea mwishoni mwa mwaka jana nchini burkina faso, wakati mkuu wa nchi aliyetawala muda mrefu blaise compaore alipong'olewa madarakani na jeshi baada ya kutangaza dhamira yake ya kugombea tena kipindi kingine cha utawala.
what’s happening today in burundi is reminiscent of what took place late last year in burkina faso, when long-time head of state blaise compaore was deposed by the military after declaring his intention to run for yet another term.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
wakati hali nchini burkina faso bado haijatengemaa, hatua hiyo ilikuwa ya muhimu, kwa sababu wananchi waliunga mkono mapinduzi hayo, kwa sababu ya kuchoka utawala wa miongo kadhaa wa compaore(..)lakini hali nchini burundi ni tofauti kidogo, hususani kwa kurejea historia ya vita ya wenyewe kwa wenyewe nchini humo iliyokwisha mwaka 2005.
while the situation in burkina faso is still in flux, it was a key moment, as the public massively supported the coup, fed up with compaore’s decades-long rule (..)but the situation in burundi is also different, particularly given the protracted civil war which ended in 2005.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: