검색어: na ndugu yako (스와힐리어 - 영어)

컴퓨터 번역

인적 번역의 예문에서 번역 방법 학습 시도.

Swahili

English

정보

Swahili

na ndugu yako

English

 

부터: 기계 번역
더 나은 번역 제안
품질:

인적 기여

전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.

번역 추가

스와힐리어

영어

정보

스와힐리어

kuwa na ndugu salama

영어

came back safely

마지막 업데이트: 2019-06-27
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

kuingiliwa na ndugu - 9000

영어

interference by relatives - 9000

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

nadhariatete ya ndugu na ndugu wa mbali

영어

cousin and distant cousin hypothesis

마지막 업데이트: 2016-06-09
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu.

영어

i have no control except over myself and my brother, so keep us separated from the disobedient nation.”

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

na ndugu zao wanawavutia kwenye upotofu, kisha wao hawaachi.

영어

but their brethren lead them relentlessly into error, and they never stop short.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

wale walio na ndugu wamekwenda kuishi nao kwenye nyumba zao.

영어

those who have relatives go and live at their house.

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

yesu akawaambia, "mama yangu na ndugu zangu ni kina nani?"

영어

and he answered them, saying, who is my mother, or my brethren?

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

basi, ukipeleka sadaka yako mbele ya madhabahu na hapo ukakumbuka kwamba ndugu yako ana ugomvi nawe,

영어

therefore if thou bring thy gift to the altar, and there rememberest that thy brother hath ought against thee;

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

na ndugu yangu harun ni fasihi zaidi ulimi wake kuliko mimi.

영어

aaron, my brother—he is more eloquent than me in speech.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: Hamad_mbunge

스와힐리어

nimiaka mingi imepita bila ya yakuonana tupo uko uganda mimi na ndugu angu adam

영어

nimiaka mingi imepita bila yakuonana yangu tupo uko uganda mimi na ndugu angu adam

마지막 업데이트: 2022-10-01
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

acheni kupigana na ndugu zenu kwa ajili ya maslahi ya kisiasa kwa watu fulani

영어

stop fighting your brother for someone else's political gain — it's theö™ (@theoscouse) december 20, 2013

마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

tuma salamu zangu kwa mama yako na baba yako, na pia kwa dada zako na ndugu zako.

영어

send my greetings to your mother and father,and also to your sisters and brothers.

마지막 업데이트: 2023-10-02
사용 빈도: 2
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

basi, kulikuwa na ndugu saba. wa kwanza alioa, akafa bila kuacha mtoto.

영어

now there were seven brethren: and the first took a wife, and dying left no seed.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

msiwafanye baba zenu na ndugu zenu kuwa vipenzi vyenu ikiwa wanastahabu ukafiri kuliko imani.

영어

choose not your fathers nor your brethren for friends if they take pleasure in disbelief rather than faith.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu. basi tutenge na hawa watu wapotovu.

영어

[moses] said, "my lord, indeed i do not possess except myself and my brother, so part us from the defiantly disobedient people."

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

(musa) akasema: mola mlezi wangu! nisamehe mimi na ndugu yangu, na ututie katika rehema yako.

영어

'lord' said moses, 'forgive me and forgive my brother.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

akasema: mola wangu mlezi! hakika mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu.

영어

he said, 'o my lord, i rule no one except myself and my brother.

마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

hapo akawatazama watu waliokuwa wamemzunguka, akasema, "tazameni! hawa ndio mama yangu na ndugu zangu.

영어

and he looked round about on them which sat about him, and said, behold my mother and my brethren!

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

스와힐리어

kwa sababu hiyo, ningeweza, kwa uhodari kabisa, nikiwa ndugu yako katika kristo, kukuamuru ufanye unachopaswa kufanya.

영어

wherefore, though i might be much bold in christ to enjoin thee that which is convenient,

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명

스와힐리어

ilitubidi kufanya sherehe na kufurahi, kwa sababu huyu ndugu yako alikuwa amekufa, kumbe yu mzima; alikuwa amepotea, lakini sasa amepatikana."

영어

it was meet that we should make merry, and be glad: for this thy brother was dead, and is alive again; and was lost, and is found.

마지막 업데이트: 2012-05-06
사용 빈도: 1
품질:

추천인: 익명
경고: 보이지 않는 HTML 형식이 포함되어 있습니다

인적 기여로
7,783,621,706 더 나은 번역을 얻을 수 있습니다

사용자가 도움을 필요로 합니다:



당사는 사용자 경험을 향상시키기 위해 쿠키를 사용합니다. 귀하께서 본 사이트를 계속 방문하시는 것은 당사의 쿠키 사용에 동의하시는 것으로 간주됩니다. 자세히 보기. 확인