전문 번역가, 번역 회사, 웹 페이지 및 자유롭게 사용할 수 있는 번역 저장소 등을 활용합니다.
the commandment of allah is always executed.
na amri ya mwenyezi mungu ni lazima ifanyike.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
and the commandment of allah is always executed.
na amri ya mwenyezi mungu ni lazima ifanyike.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
(the resurrection) will also be executed in the same way.
ndivyo kama hivyo kutakavyo kuwa kufufuliwa.
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
a close up of the five executed men in saudi arabia.
picha ya karibu ya watu watano walionyongwa nchini saudi arabia.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
2 weeks ago isis executed syrian muslim journalist bassam raies.
wiki mbili zilizopita, isis walimuua mwanahabari mwislam wa syria, bassam raies.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
five yemeni men were executed and publicly displayed in the streets of saudi arabia.
wa-yemeni watano walinyongwa na kutundikwa hadharani kwenye mitaa ya saudi arabia.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
and they say: when shall this threat be (executed) if you are truthful?
na wanasema: lini ahadi hii, ikiwa mnasema kweli?
마지막 업데이트: 2014-07-03
사용 빈도: 1
품질:
five yemenis convicted of murder and robbery were executed in saudi arabia and their bodies displayed in public in the southwestern town of jizan.
watu watano wa yemeni waliokuwa wametiwa hatiani kwa mauaji na ujambazi walinyongwa kwa kukatwa vichwa vyao nchini saudia arabia na miili yao kutundikwa hadharani katika mji wa jizan ulio kusini magharibi mwa nchi hiyo.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
@7azem122: instigating against the shia started two weeks ago in all the mosques and today they executed their plan.
@7azem122: uchochezi dhidi ya watu wa imani ya shia ulianza wiki mbili zilizopita katika misikiti yote na siku ya leo wamekamilisha mpango wao.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
how could i not join in the throng of proud bloggers in saluting such a remarkable, record breaking performance, finely executed by usain bolt?
iweje nisijiunge na wimbi la mabloga wajivunaji wanaopongeza uvunjaji wa rekodi uliofanywa kistadi na usain bolt?
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
the outrageous eviction of the wang family executed by taipei city government showed the public how fragile citizens' private rights is in front of the urban renewal projects.
kitendo cha kinyama cha kufukuzwa kwa familia ya wang kilichofanywa na serikali ya jiji la taipei kiliuonyesha wazi umma jinsi haki za raia zilivyo tete mbele ya mradi wa ufufuaji miji.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
@bintbattuta87: graphic: image of 5 men executed today, their dead bodies hanging now in #saudi streets.
@bintbattuta87: inatisha: picha za watu watano walionyongwa leo, miili yao ikiwa imening'inizwa sasahivi kwenye mitaa ya #saudi.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
akmal shaikh, a british citizen convicted of smuggling heroine into china, was executed on tuesday although his families along with the british government had pleaded for reprieve, claiming that he is mentally ill.
akmal shaikh, raia wa uingereza aliyeshtakiwa kwa kuingiza mihadarati kinyume cha sheria nchini china, aliuwawa siku ya jumanne japokuwa familia yake pamoja na serikali ya uingereza waliomba adhabu ipunguzwe, wakidai kuwa alikuwa ni mgonjwa wa akili.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
... as soon as i was arrested in my apartment by security forces, i was tortured, beaten and threatened to be executed... i am one of the victims of the islamic regime's repression.
... mara tu nilipowekwa chini ya ulinzi nyumbani kwangu na vyombo vya usalama, niliteswa, nilipigwa na kutishiwa kifo...mimi ni mhanga wa unyanyasaji wa utawala huu wa kiislamu.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
and there are women for whom it seems that pregnancy is the only way to escape a sentence, as was the case back in june, when a british woman incarcerated and sentenced to death in laos due to drug smuggling got pregnant in prison and escaped being executed, since the laos government would not execute a pregnant woman.
na kuna wanawake ambao wanaona kwamba kuwa na mimba ni njia pekee ya kukwepa hukumu, kama ilivyotokea mwezi juni, pale mwanamama wa kiingereza aliwekwa ndani na kuhukumiwa kifo huko laos kwa sababu ya kusafirisha madawa ya kulevya akapata ujauzito gerezani na akanusurika kunyongwa, kwa sababu serikali ya laos isingemnyonga mwanamama mjamzito.
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질:
5 #yemen men executed yesterday. #ksa https://www.facebook.com/haykal.bafana/posts/469019226511426 … pic.twitter.com/0ncwdxybhc
wanaume watano wa ki-yemeni wamenyongwa jana. #ksa https://www.facebook.com/haykal.bafana/posts/469019226511426 … pic.twitter.com/0ncwdxybhc
마지막 업데이트: 2016-02-24
사용 빈도: 1
품질: