Je was op zoek naar: demonstrate (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

demonstrate

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

as if people don't have the right to demonstrate!

Swahili

ni kana kwamba watu hawana haki ya kuandamana kupinga jambo?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

these children demonstrate how pervasive racism has become in mexico.

Swahili

watoto hawa wanadhihirisha namna ubaguzi wa rangi unavyokuwa tatizo nchini mexico.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

come on parties, be responsible and demonstrate that you are who you claim.

Swahili

nyie vyama vya siasa, kuweni wawajibikaji na onyesheni kuwa mko vile ambavyo mnadai kuwa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

3:08 pm, students demonstrate forming an sos. the intercomunal avenue is blocked.

Swahili

saa 9:08 alasiri, wanafunzi wanaandamana kufunga mtaa wa intercounal.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

journalists demonstrate in dar es salaam on september 10 against the police violence which caused daudi mwangosi's death.

Swahili

waandishi wa habari wakiandamana jijini dar es salaam tarehe 10 septemba kupinga matumizi makubwa ya nguvu yaliyosababisha kifo cha daudi mwangosi.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

in the interview, endalkachew says that the group had campaigns about respecting the constitution, stopping censorship and respecting the right to demonstrate.

Swahili

katika mahojiano, endalkachew anasema kwamba kundi lilikuwa na kampeni kuhusu kuheshimu katiba, kuacha udhibiti na kuheshimu haki ya kuandamana.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

her integrity and convictions demonstrate something special about her character — her intense commitment to active citizenship within an increasingly brainwashed and fragmented populous.

Swahili

uadilifu wake na msimamo wake unaonesha kitu fulani cha pekee alichonacho- utayari wake thabiti katika uraia imara wa jamii ya watu waliorubuniwa na kuparaganyika..

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

approximately 20-30% of people who present with covid-19 demonstrate elevated liver enzymes (transaminases).

Swahili

takriban asilimia 20-30 ya watu wenye covid-19 wanaonyesha vimeng'enya vingi vya ini (viwango vya juu vya madhara ya ini)

Laatste Update: 2020-08-25
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

a day later, many bahrainis were fuming on twitter, saying the arrest was futile and served no purpose other than to further demonstrate the government's true colours in stifling opposition voices online.

Swahili

siku moja kabla, wabahrain wengi walikuwa na hasira kwenye mtandao wa twita, wakisema kuwa kukamatwa kwake kumefanyika bila sababu na hapakuwa na kingine isipokuwa kuonyesha rangi halisi za serikali dhidi ya sauti kuu za upinzani katika mtandao wa intaneti.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

for the last few weeks, coren have mobilised the people of mali throughout the entire territory, with the page notably being used to announce upcoming events as well as to demonstrate solidarity as shown in the following status update from group member oumar maigar:

Swahili

kwa majuma machache yaliyopita, coren imeweza kuwahamasisha wananchi wa mali kote ndani ya mipaka hiyo, kwa kutumia ukurasa unaonekana kutangaza matukio yanayofuata pamoja na kuonyesha mshikamano kama inavyoonyeshwa katika habari mpya iliyowekwa na mwanachama wa kundi hilo aitwaye oumar maigar:

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

"many countries do not have an established hardwired infrastructure and are looking to the mobile network as means of mass communication…previously other media, such as radio, would have been used for such work but the south african project demonstrates the importance of considering all channels for outreach."

Swahili

"nchi nyingi hazina miundombinu inayotumia mtandao wa waya na zinaangalia mitandao ya simu za viganjani kama njia ya mawasiliano… huko nyuma njia nyingine za mawasiliano kama vile redio, zingetumika kufanya kazi kama hii lakini mradi huu wa afrika ya kusini unaonyesha umuhimu wa kuziangalia njia zote ili kuufikia umma."

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Krijg een betere vertaling met
7,778,999,082 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK