Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
some were sent to hospitals.
wapo waliotumwa kwenda kwenye mahospitali.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
has he been to moscow region hospitals???
hivi amewahi kwenda kwenye hospitali za jimbo la moscow???
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
a newborn baby sleeps in a hospitals in southern luzon, philippines (2009).
mtoto mchanga akiwa amelala kwenye hospitali ya southern luzon, ufilipino (2009).
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
as soon as journalists began reaching hospitals to report on the situation, more mismanagement came to surface.
mara baada ya waandishi wa habari kuanza kutembea mahospitalini kwa ajili ya kutoa taarifa za tukio hili, matumizi mabaya ya madaraka yaliendelea kujitokeza.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
many iranians can not afford going to a doctor or hospitals and die every day as a result, meanwhile iran constructs hospitals in lebanon.
wairani wengi hawawezi kumudu kwenda kwa daktari au hospitali na matokeo yake wanakufa kila siku, wakati huo huo irani inajenga hospitali nchini lebanoni.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
and for those in hospitals suffering, all they see are masks and robot-looking suits of doctors and nurses caring for them.
na kwa wale walio mahospitalini wakiteseka, wanachoweza kukiona ni sura za madaktari na manesi waliovalia mavazi kama roboti wakijaribu kuwahudumia.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
@saudiwoman: 16billion to health ministry to build cancer units and other specialized units, clinics and housing for major hospitals
@saudiwoman: bilioni 16 kwenda wizara ya afya ili kujenga kituo cha saratani na vitengo vingine muhimu, zahanati na nyumba kwa ajili ya hospitali zote kubwa
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
@bagadood: 8th royal decree: increase the assistance for private hospitals to 200 million sar #sakingspeech #saudimataleb
@bagadood: tamko la 8 la kifalme: kuongeza msaada zaidi kwa hospitali binafsi kwa kiasi cha riyali milioni 200 #sakingspeech #saudimataleb
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hospital admissions
kulazwa hospitali
Laatste Update: 2023-09-28
Gebruiksfrequentie: 2
Kwaliteit: