Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
ibanga
ibanga
Laatste Update: 2024-01-23
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"she could have been killed," ibanga says.
"angeuawa," ibanga anasema.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
after months of collaboration, ibanga and hawaja founded the women without walls initiative.
baada ya miezi ya kushirikiana, ibanga na hawaja walianzisha mradi wa wanawake wasio na mipaka.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
at that point, ibanga reached out to a local muslim religious leader, khadija hawaja.
hali ilipofikia hapo, ibanga aliamua kukutana na kingozi wa dini ya ki-islam wa eneo hilo, khadija hawaja.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
but my anger was toward my government," says ibanga, the pastor of jos christian missions.
lakini hasira yangu ilikuwa dhidi ya serikali yangu," anasema ibanga, mchungaji wa kanisa la jos christian missions.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak
nigerian pastor esther ibanga joined with muslim leaders in the city of jos to call for the return of chibok girls who were kidnapped by the extremist group boko haram.
mchungaji wa ki-naijeria esther ibanga akiwa na viongozi wa kiislam mjini jos kutoa mwito wa kurudishwa kwa wasichana wa chibok waliokuwa wametekwa na kikundi cha kigaidi kiitwacho boko haram.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
even after the tensions had become commonplace, the severity of a 2010 massacre in the town of dogo-nahawa turned ibanga and other local women into vocal activists.
hata baada ya misuguano hiyo kuzoeleka, kiwango cha mauaji ya mwaka 2010 kwenye mji wa dogo-nahawa kulimfanya ibanga na wanawake wengine wa sehemu hiyo kuwa wanaharakati wanaopaza sauti.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
but in the weeks that followed, ibanga and others discovered that the extremist violence in dogo-nahawa was in fact a reprisal attack — in response to an earlier assault in the region by christian militants.
lakini katika majuma yaliyofuata, ibanga na wengine waligundua kwamba ghasia hizo za kigaidi katika eneo la dogo-nahawa zilikuwa kwa hakika mashambulio ya kulipiza kusasi -kujibu shambulio la awali lililofanywa na wanamgambo wa ki-kristo.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
"it's unfortunate, but over the years we sort of got used to it, that christians and muslims don't get on well together," ibanga says.
"ni bahati mbaya sana, lakini kwa miaka kadhaa sasa ni kama tumeanza kuzoea, kwamba wa-kristo na wa-islam hawapatani," anasema ibanga.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak