Je was op zoek naar: standeth (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

standeth

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

wherefore let him that thinketh he standeth take heed lest he fall.

Swahili

anayedhani amesimama imara ajihadhari asianguke.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

those who devour usury shall not be able to stand except standeth one whom the satan hath confounded with his touch.

Swahili

wale walao riba hawasimami ila kama anavyo simama aliye zugwa na shet'ani kwa kumgusa.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

and every priest standeth daily ministering and offering oftentimes the same sacrifices, which can never take away sins:

Swahili

kila kuhani myahudi humhudumia mungu kila siku, akitoa dhabibu zilezile mara nyingi, dhabibu ambazo haziwezi kuondoa dhambi.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

john answered them, saying, i baptize with water: but there standeth one among you, whom ye know not;

Swahili

yohane akawajibu, "mimi nabatiza kwa maji, lakini yuko mmoja kati yenu, msiyemjua bado.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Waarschuwing: Bevat onzichtbare HTML-opmaak

Engels

wherefore, if meat make my brother to offend, i will eat no flesh while the world standeth, lest i make my brother to offend.

Swahili

kwa hiyo, ikiwa chakula husababisha kuanguka kwa ndugu yangu, sitakula nyama kamwe, nisije nikamfanya ndugu yangu aanguke katika dhambi.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

is he then who standeth, on an evidence from his lord like unto him whose evil of work is made fair-seeming for him and those who follow their lusts?

Swahili

je! mwenye kuwa na bayana kutoka kwa mola wake mlezi ni kama aliye pambiwa uovu wa vitendo vyake, na wakafuata pumbao lao?

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

nevertheless he that standeth stedfast in his heart, having no necessity, but hath power over his own will, and hath so decreed in his heart that he will keep his virgin, doeth well.

Swahili

lakini kama huyo mwanamume akiamua kwa hiari moyoni mwake kutooa na kama anaweza kuzitawala tamaa zake na kuamua namna ya kufanya, basi, anafanya vizuri zaidi asipomwoa huyo mwenzake bikira.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

who art thou that judgest another man's servant? to his own master he standeth or falleth. yea, he shall be holden up: for god is able to make him stand.

Swahili

wewe ni nani hata uthubutu kumhukumu mtumishi wa mwingine? akisimama au akianguka ni shauri la bwana wake; naam, atasimama imara, maana bwana anaweza kumsimamisha.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

he that hath the bride is the bridegroom: but the friend of the bridegroom, which standeth and heareth him, rejoiceth greatly because of the bridegroom's voice: this my joy therefore is fulfilled.

Swahili

bibiarusi ni wake bwanaarusi, lakini rafiki yake bwana arusi, anayesimama na kusikiliza, hufurahi sana anapomsikia bwana arusi akisema. ndivyo furaha yangu ilivyokamilishwa.

Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,778,315,341 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK