Je was op zoek naar: witnessing (Engels - Swahili)

Computervertaling

Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.

English

Swahili

Info

English

witnessing

Swahili

 

Van: Machinevertaling
Stel een betere vertaling voor
Kwaliteit:

Menselijke bijdragen

Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.

Voeg een vertaling toe

Engels

Swahili

Info

Engels

and standby their witnessing,

Swahili

na ambao wanasimama imara katika ushahidi wao,

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

witnessing what they had done to the believers!

Swahili

na wao ni mashahidi wa yale waliyo kuwa wakiwafanyia waumini.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

and by the day witnessing and the day witnessed,

Swahili

na kwa shahidi na kinacho shuhudiwa!

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

but are we witnessing a coup in south sudan?

Swahili

lakini je, tunayoshuhudia nchini sudan kusini ni mapinduzi?

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

witnessing the massive destruction and loss of life can make anyone lose it.

Swahili

mtu anaposhuhudia uharibifu mkubwa kupita kiasi na upotevu mkubwa wa maisha kunaweza kumchanganya vibaya mtu yeyote.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

or, did we create the angels females while they were witnessing?

Swahili

au tumewaumba malaika kuwa ni wanawake, na wao wakashuhudia?

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

surely, in this there is a reminder for he who has a heart or listens attentively while witnessing.

Swahili

hakika katika hayo upo ukumbusho kwa mwenye moyo au akatega sikio naye yupo anashuhudia.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

and call in to witness two men of equity from among yourselves; and perform the witnessing to god himself.

Swahili

na mshuhudishe mashahidi wawili waadilifu miongoni mwenu. na simamisheni ushahidi kwa ajili ya mwenyezi mungu.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

be upright to god, witnessing with justice; and let not the hatred of a certain people prevent you from acting justly.

Swahili

kuweni wasimamizi madhubuti kwa ajili ya mwenyezi mungu mkitoa ushahidi kwa haki. wala kuchukiana na watu kusikupelekeeni kutofanya uadilifu.

Laatste Update: 2014-07-03
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

balochistan, pakistan's largest, least populated and poorest province is witnessing its fifth separatist movement since 1947.

Swahili

balochistani, jimbo kubwa zaidi nchini pakistani, lenye idadi ndogo zaidi ya watu na lenye umasikini mkubwa linashuhudia vuguvugu la tano la kujitenga tangu mwaka 1947.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

burning tyres and blocking roads is a popular sign of protest in restive bahrain, which has been witnessing almost daily protests since february 14, 2011.

Swahili

kuchoma matairi na kuweka vizuizi barabarani ni ishara maarufu za kupinga kitu nchini bahrain, nchini ambayo imekuwa ikishuhudia maandamano karibu kila siku tangu februari 14, 2011.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

after witnessing the harambee stars struggle to strike lustre in the beautiful game, stakeholders have been touting names foreign to the kenyan tongue for the national team’s top job.

Swahili

kufuatia bahati mbaya ya harambee stars kwa mchezo huu mzuri, washika dau wamekuwa wakiwasilisha majina ya makocha kutoka nchi mbalimbali kwa nafasi ya ukocha wa timu hiyo ya taifa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

in bahrain, which has been witnessing anti-regime protests since february 14, 2011, more than 600 political prisoners have gone on hunger strike to protest torture in jail.

Swahili

bahrain, nchi ambayo imekuwa ikishuhudia maandamano ya kupinga utawala wa nchi hiyo tangu februari 14, 2011, zaidi ya wafungwa 600 wameingia wenye mgomo kupinga mateso wanayoyapata wakiwa gerezani.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Engels

@mejdmr: the governor, ould bahia, the deputy governor and the police ran away after witnessing the one-day workers anger when they occupied that governorate and state radio headquarters.

Swahili

@mejdmr: gavana, ould bahia, naibu gavana na polisi walikimbia baada ya kushuhudia hasira ya wafanyakazi hao kwa siku moja walipovamia ofisi ya gavana na kituo cha redio ya taifa.

Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:

Krijg een betere vertaling met
7,743,974,865 menselijke bijdragen

Gebruikers vragen nu voor assistentie



Wij gebruiken cookies om u de best mogelijke ervaring op onze website te bieden. Door de website verder te gebruiken, geeft u toestemming voor het gebruik van cookies. Klik hier voor meer informatie. OK