Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
non enim in manufactis sanctis iesus introiit exemplaria verorum sed in ipsum caelum ut appareat nunc vultui dei pro nobi
maana kristo hakuingia mahali patakatifu palipojengwa kwa mikono ya watu, ambapo ni mfano tu wa kile kilicho halisi. yeye aliingia mbinguni kwenyewe ambako sasa anasimama mbele ya mungu kwa ajili yetu.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
quod ergo bonum est mihi factum est mors absit sed peccatum ut appareat peccatum per bonum mihi operatum est mortem ut fiat supra modum peccans peccatum per mandatu
je, hii inamaanisha kwamba kile kilicho kizuri kimesababisha kifo changu? hata kidogo! iliyo ni kwamba, dhambi, ili ionekane dhahiri kuwa ni dhambi, imekitumia kile kilicho kizuri na kusababisha kifo changu. hivyo dhambi, kwa njia ya ile amri, ilijionyesha kikamilifu jinsi ilivyo mbaya mno.
Laatste Update: 2012-05-04
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: