Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
aliandaa tamasha la calypso la harambee kisiwani humo mnamo mwaka 1996, ili kukabili uharibifu uliasababishwa na volkeno.
he organized a fundraising calypso festival on the island in 1996, in response to the devastation caused by the volcano.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
aliwaji kuishi na kufanya kazi nchini uganda, afrika ya mashariki, ambapo wa kushirikiana na mtu mwingine aliandaa na kuongoza mfululizo wa makongamano kuhusu maendeleo baada ya vita kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vya marekani na afrika.
she previously lived and worked in uganda, where she co-developed and directed a series of conferences on post-conflict development for american and african college students.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
akiwa kijana na mwenye nguvu, khusta aliandaa mgomo wa kiuchumi dhidi ya biashara zinazomilikiwa na makaburu kushinikiza madai ya watu weusi ya kuheshimiwa -kuheshimiwa utu wao na serikali ya makuburu wa afrika kusini.
young and energetic, khusta led an economic boycott of downtown white-owned businesses in port elizabeth to leverage black people’s demands for better treatment -humane treatment by the apartheid government of south africa.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
hazem barakat aliandaa waraka wa tukio hili la kinyama, aliweka picha za watu walioonekana kutokwa na damu nyingi pamoja na kuweka video inayoonesha shambulio hili (warning: graphic video) mtandaoni.
hazem barakat documented the crime, sharing bloodied photographs and a video of the attack (warning: graphic video) online.
Laatste Update: 2016-02-24
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: