Via de voorbeelden van menselijke vertaling trachten te leren vertalen.
Van professionele vertalers, bedrijven, webpagina's en gratis beschikbare vertaalbronnen.
mungu hakumhurumia hata mwanae wa pekee, bali alimtoa kwa ajili yetu sisi sote. ikiwa amefanya hivyo, je, hatatujalia pia mema yote?
he that spared not his own son, but delivered him up for us all, how shall he not with him also freely give us all things?
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa hivyo, abrahamu alihama nchi ya kaldayo, akaenda kukaa harani. baada ya kifo cha baba yake, mungu alimtoa tena harani akaja kukaa katika nchi hii mnayokaa sasa.
then came he out of the land of the chaldaeans, and dwelt in charran: and from thence, when his father was dead, he removed him into this land, wherein ye now dwell.
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
kwa imani, abrahamu alimtoa mwanae isaka sadaka wakati mungu alipomjaribu. huyo abrahamu ndiye aliyekuwa amepokea ahadi ya mungu, lakini, hata hivyo, alikubali kumtoa dhabihu mwanae wa pekee,
by faith abraham, when he was tried, offered up isaac: and he that had received the promises offered up his only begotten son,
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit:
mungu alimtoa yesu kusudi, kwa damu yake, awe njia ya kuwaondolea watu dhambi zao kwa imani yao kwake. alifanya hivyo ili apate kuonyesha kwamba yeye ni mwadilifu. hapo zamani mungu alikuwa mvumilivu bila kuzijali dhambi za watu;
whom god hath set forth to be a propitiation through faith in his blood, to declare his righteousness for the remission of sins that are past, through the forbearance of god;
Laatste Update: 2012-05-06
Gebruiksfrequentie: 1
Kwaliteit: